GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waseme tukasome sehemu gani tuone "awamu" ni kitu gani
 
Mkuu itoshe kusema jifunze vingi hujui
 
Rais ni mamlaka kamili, anapoapishwa kinachokuwa kimefanyika ni zaidi ya baraza la mawaziri.

Sio lazima awamu ije na uchaguzi mkuu
Mkuu itoshe kusema jifunze vingi hujui
Soma katiba inacho kifungu kinachokubaliana na Samia kuwa rais wa awamu ya sita.
 
Rais ni mamlaka kamili, anapoapishwa kinachokuwa kimefanyika ni zaidi ya baraza la mawaziri.

Sio lazima awamu ije na uchaguzi mkuu
Sijazungumzia Wala Kupinga Mamlaka ya Rais Popote Pale kama Nilivyosema Samia Ni Rais wa 6 kwenye Awamu ya Tano
Soma katiba inacho kifungu kinachokubaliana na Samia kuwa rais wa awamu ya sita.
Hebu Nitajie Hicho kifungu kinachotaja Awamu 🤣🤣
 
Soma katiba ulichoandika sio kweli....
Inaitwa awamu endapo itakuwa imesalia miaka minne "4" sambamba na hili mhusika hataruhusiwa kugombea kwa kipindi zaidi ya kimoja baada ya kutamatika kwa muhura wa urithi wa kiti cha Urais.
 
Wote mbona hamuweki nukuu ya "awamu" ni nini 👀
 
Mungu wa haki atajibu mkuu. Maombi ya wengi ni sheria ya Mungu. Amini hilo mwisho wake utakua mbaya sana.hakuna mshenzi akiedumu na kuvishwa wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…