MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Bridezilla.Ingawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa?
Kilishawahi kukupata? Please share your experience.
Watafute Haji manara na Ally kamwe.Ingawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa?
Kilishawahi kukupata? Please share your experience.
Maana yake nini?Bridezilla.
Mwanamke mwenye kichaa cha ndoa, mawazo yake yote yapo kwenye kutafuta ndoa, anaweza kufanya mambo ya ajabu ili apate ndoa.Maana yake nini?
AsanteMwanamke mwenye kichaa cha ndoa, mawazo yake yote yapo kwenye kutafuta ndoa, anaweza kufanya mambo ya ajabu ili apate ndoa.
Ndio ninyi wanawake huwa Kuna muda munakuwa vichaa hata wifi yako alikuwa anapitia hivyoIngawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa?
Kilishawahi kukupata? Please share your experience.