GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ina maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitengeneza maadui wengi Kila unapokwenda unahisi unatafutwa.Ina maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
Sasa Huyu mama katengeneza maadui gani, labda kama Kuna maadui wamejitengeneza wao wenyew...Ukitengeneza maadui wengi Kila unapokwenda unahisi unatafutwa.
Akili za usiku hizi[emoji3]Ina maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
Labda alinunua viwanja chato.Jamaa yangu umekua na hasira sana na bi mkubwa yamekukuta yapi? Mambo hayaendi?
We dada ukiwa kwenye cku zako unavurugwa akili??; Kwaiyo unataka Rais hasilindwe ,mbona Magufuli akiwa chato alikuwa na ulinzi Hadi kwenye vijiwe vya kahawa!? Mbona Rais wa Nchi yako Kagame analindwa Hadi akienda kunyaIna maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
Hili dada GENTAMYCINE ni tahira kwakweliRais sio kapuku kama wewe, au babako mzee. Ni bora kutumia gharama hizo kumlinda kuliko gharama za kumpoteza.
WEWE NI POPOMA.
Mnyarwanda huyo kavurugwa na maisha tangu wafiweJamaa yangu umekua na hasira sana na bi mkubwa yamekukuta yapi? Mambo hayaendi?
Huna akili hilo nalo ni la kutuletea humu?Ina maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
Watkusingizia uchawi wakati Genta wa watu umeongea ukweliIna maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?