Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm not a Burundian ( like so many Fools of your type think ) but I'm a half Tanzanian and Rwandese from both Tutsi ( Rwanda ) and Zanaki ( Tanzania ) ethnicities.Sasa hili nalo la kujadili we mrundi.
Kwahiyo wanaompangia wameona kwa sasa Ulinzi wake uimarishwe maradufu kwakuwa ameenda Chimbukoni Visiwani?Rais hajipangii namna gani ya kulindwa na wapi akiwepo safu ya ulinzi iweje...
Kuroga Mchakato wa kumpata Spika Mpya usifanikiwe mpaka wana CCM 'waparurane' na 'Siri' nyingi zianze Kuvuja kama hii ya 'Kisababishi' na 'Msababishi' Mkuu wa Huzuni ya tarehe 17 Machi, 2021 Mkuu.GENTAMYCINE Umeenda kufanya nini Zanzibar?
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa hili nalo la kujadili we mrundi.
Kwahiyo wanaompangia wameona kwa sasa Ulinzi wake uimarishwe maradufu kwakuwa ameenda Chimbukoni Visiwani?
weka hata picha basi uongo huoIna maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
Acha dharau Mzena ni Full Hospital na kwa taarifa yako tu ni kwamba ina kila Kitu, kila Huduma mpaka na Madaktari Bingwa.
Maadui wake wapo ndani ya chama na kuna vita kubwa uko chamaniSasa Huyu mama katengeneza maadui gani, labda kama Kuna maadui wamejitengeneza wao wenyew...