Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

Dhambi mbaya sana kwa muuza duka ni kuiba kwa kutumia mizani na dhambi mbaya mno kwa mwanasiasa ni WIZI WA KURA. Wizi aina hizi kwa vitabi vya dini ni laana.
 
Basi kuwa na akili timu kisiwe ni kigezo cha kuwa kiongozi
Kigezo kiwe ukichaa ndio tungepata maendeleo haraka
Unajisumbua tu kumwelewesha huyu jamaa. Nitajie mwanaSISIEM mmoja tu mwenye akili.
 
Bila shaka CCM inaenda kuchukua wagombea mirembe, maana huko ndiko waliko vichaa na wendawazimu...

Leo CCM wanatamani vichaa na wendawazimu ndio waongoze nchi, kwamba ndio wataleta maendeleo, hapa ndio nazidi kudhihilisha kuwa CCM ni vipaza kabisa.
 
Hapana aseh tunahitaji utimamu wa akili Kama wa Lee kuan Yew.
And the like.

Swali la kujiuliza imekuwaje the four tiger countries kufikia hatua kubwa za kiuchumi kwa kipindi Kifupi Bila kuwa na viongozi mataahira,madikteta,wahuni,wabaguzi ,Wezi,Wavunjifu wa haki...

Wanaoona Ni sahihi kudiriki kuua wakosoaji wao.....

Tunahitaji viongozi wenye utimamu wa akili....wanaojali maisha ya kila Raia wake...

Haukusoma how a leader should be kwenye civics?
 
Ila nyie Mataga pesa mnaipata kwa kufanya mambo ya hivyo sana kuliko hata kuzibua vyoo. Yani mpaka unasifu kiongozi kuwa kichaa!!!
Tusomeshe watoto wetu wasije jiunga na hili kundi la Mataga.
 
Mleta mada kiongozi anatakiwa kutumia hekima na sio ukichaa!
Ukichaa ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Ndio maana ktk biblia Mfalme Seluiman aliomba hekima na sio ukichaa!
 
Kuna kabila limeproof failure kwenye uongozi ni malimbukeni wasipewe level za juu za uongozi case study
sikubaliani na wazo lako,kwanza lina ubaguzi wa kijinga kabisa na pili unapoweka kabila zima eti case study una sababisha hata waadilifu kukosa nafasi na baadhi ya wachangiaji kutokuunga mkono hata kama na wao ni waathirika.
 
Kama watu zaidi ya 7 Wana act the same je hii simple sample? Achilia hata awamu hii pendwa.Mtu analewa kwa kitu kidogo tu cha mda tena kipitacho.
 
sikubaliani na wazo lako,kwanza lina ubaguzi wa kijinga kabisa na pili unapoweka kabila zima eti case study una sababisha hata waadilifu kukosa nafasi na baadhi ya wachangiaji kutokuunga mkono hata kama na wao ni waathirika.
Ametaja kabila gani?
 
Mkuu mwizi wa kura unamshitaki wapi?
Rejea kauli ambayo ilitolewa na Polis kura za wizi zilipokamatwa.
Mbona yule tapeli wenu aliyegaragazwa aliwaaminisha anaushaidi wa vikaratasi nakusema anaenda navyo mahakama ya kimataifa kumbe ulikuwa ni ulaghai mwingineee??? Haaaaa haaaaaa
 
Nakubaliana na ukichaa wowote ule ilimradi katiba, sheria, kanuni na taratibu hazivunjwi.
 
Mi nadhani sometimes ilikuweka record clear ni vizuri kutaja miradi ilionzishwa na rais wa sasa Vs marais waliopita, vinginevyo tunaweza kua tunamsifia mtu au kumponda kumbe kuna ukweli au uongo!
 
Back
Top Bottom