Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

Yaaani mkuu unataka iendeshwe kama genge la nyanya... Kwamba Potelea mbali,, liwalo na liwe...

Nchi ina misingi ya kuiendesha,,, Rais kama ana knowledge kuna sehemu anapaswa aweke akili yake ila pia akiitumia vibaya hio nafasi anaeza feli sana...

AKILI kumkichwa na UJINGA kumkichwa pia.
 
Wakati wana wa Israel wanaelekea kanaani kuna Muisrael alietwa Kora yeye kazi yake kubwa ilikua kupinga safari ya musa na wanawa Israeli. Bila Mungu kuingilia kati kumuangamiza kora huenda mpk leo wanawa Israeli wasingefika kanani.

Pia inanikumbusha hadithi ya Gadaffi na wa Libya walipopandikizwa sumu hatimaye wakamuua huku wasisikie maneno yake akilia kwakuwambia "wanawadanganya muniue lakini mtakuja kujuta"kuna muda Wazungu wanatuona manyani mana muAfrika akiwa mbele ya mzungu ni fulu kuponda nchi yake na viongozi wake..kusema kweli mafisadi/ wapiga dili/ mabepari/ wazembe/ Waajiriwa wakisikia jina la Magufuli wanaweweseka ila wazalendo wakisikia jina hilo wanafurahi halafu wanakukumbuka zama za kina Thomas Sankara, P Lumumba, Samora Machel, J.kNyerere.

Rais anayeamini kwenye kujaribu na kushindwa kuliko kutokujaribu kabisa ipo neema kwenye kujaribu Afrika yote inamtaka Magufuli sisi tunamchukulia poa kwa kuwa ndo zetu waswahili kuponda mtu akiwa madarakani na kumpa hongera akimaliza madaraka yake Albert Einstein aliwahi kusema "tofauti ya ujinga na akili kuwa akili ina ukoma ila ujinga hauna ukomo".

Magufuli akiwangalia mabeberu anaona ushindi ila wapinzani wanaona Tanzania ikitengwa,wanaona bora tuendelee kuliwa kuliko kuwapinga mabeberu,Magufuri anakwea miti mingi kwa wakati mmoja kwakufanya miradi mingi yani anazungumza na kutenda anaposema hapa kazi tu anamaanisha mana nchi haijengwi kwa mikutano na marumbano ya hoja bari wa vitendo gazeti la The Sunday independent la Africa ya kusini liliandika hivi "Africa inahitaji rais kama Magufuli amenonesha nidhamu ya dhani kwa matumizi ya serikali na hapo ndipo liliozaliwa neno la Magufulification for Africa.

Nchi inazizima kwa mwanaume mmoja akifanya ziara za kushtukiza na kufanya tumbuatumbua mpk kupeleka January Makamba kusema "Madaraka ni kama koti la kuazima ukilipata usilivae kwa mikogo" Mzee ameisafisha nchi imesafishika.

Sote tumezaliwa tukiwa wajinga hivyo tunahitaji bidii kidogo tuwe na maarifa au bidii kubwa tuendelee kuwa wajinga Benjamin Franklin alisema tukiamka usingizini tutajua kwann aliitwa Magufurification for Afrika.

Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanyaa mabariko yenye tija. Tupo kwenye Taifa ambalo wasomi na wasio wasomi wanavuruga utulivu wa nchi kwa kusambaza tarifa zisizo rasmi.

Vijana nchi inahitaji Uzalendo.

Copied from somewhere.

Mkuu, waTanzania siowajinga wanajua wanachotaka.

Makelele ya waroho wa madaraka na mafisadi hayawezi kuvuruga matumaini ya wananchi mill zaidi ya 50.

Wachache waliounda magenge ya upigaji na ulafi wa malizauma na wapambewao ndio wanao mtakia Magufuli mabaya.

Nimetembea katika mradi mmoja tu wa Nyerere hydrapower nikaamini kweli tuna raisi anae subutu,mradi mkubwa kama huu wa umeme unahitaji rais alie jasiri ndio unaweza kuanzishwa, bado kuna reli nk.

Naamini hata hawa wanao jifanya kumponda Magufuli nafsizao zinawasuta sema basitu ni tabia zakutaka kuonekana kama wapo hai.
 
Wewe mjinga unamuita Beberu ikiwa device uliyotumia kuandika huu ujinga imetoka huko huyo Magu kila siku Mzee wa tashwishwi yuko ulaya kutembeza bakuli ujinga huu waambieni wapuuzi sio watu wenye akili

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mfyuuu.

Wewe usie mjinga umefanya kitu gani cha maana.

Beberu is just a jina. So relax niondolee makasiriko yako😏
 
Mkuu, waTanzania siowajinga wanajua wanachotaka.

Makelele ya waroho wa madaraka na mafisadi hayawezi kuvuruga matumaini ya wananchi mill zaidi ya 50.

Wachache waliounda magenge ya upigaji na ulafi wa malizauma na wapambewao ndio wanao mtakia Magufuli mabaya.

Nimetembea katika mradi mmoja tu wa Nyerere hydrapower nikaamini kweli tuna raisi anae subutu,mradi mkubwa kama huu wa umeme unahitaji rais alie jasiri ndio unaweza kuanzishwa, bado kuna reli nk.

Naamini hata hawa wanao jifanya kumponda Magufuli nafsizao zinawasuta sema basitu ni tabia zakutaka kuonekana kama wapo hai.
Hakika mkuu

Naamini. Ipo siku watakiri kwa vinywa vyao kuwa alikuwa mtu wa muhimu.
 
Back
Top Bottom