Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

sikubaliani na wazo lako,kwanza lina ubaguzi wa kijinga kabisa na pili unapoweka kabila zima eti case study una sababisha hata waadilifu kukosa nafasi na baadhi ya wachangiaji kutokuunga mkono hata kama na wao ni waathirika.
Nimesoma mahali alipoandika kabila bado sioni! Wewe umeona ametaja kabila gani ndugu na wapi
 
Kila siku mnataja na kuimba neno mabeberu. Lakini hamjawahi kutaja hata mfano mmoja tu wa hao mabeberu. Taja nchi moja tu ambayo ni miongoni mwa mabeberu na ambayo sisi hatuna ushirika nayo.
Ikija issue ya misaada na mikopo huyo anaitwa mfadhiri/ mdau wa maendeleo. Ikitokea akawa challenge, ghafla hubadilika na kuwa beberu.
 
Vile vikaratasi mlivyotengeneza halafu mkadanganya uma eti mumevipeleka mahakama ya kimataifa kumbe ilikuwa ni kiki yenu kulagai wafuasi wenu?? Hovyo kabisa

Hakuna mwenye muda wa kumlagai yoyote, uhayawani mwingi umefanyika kwenye uchaguzi tukiuona kwa macho yetu. Kwahiyo kama ni kukanusha, nenda ukakanushe kwa washamba wenzako maana ndio hawajui lolote.
 
Hakuna mwenye muda wa kumlagai yoyote, uhayawani mwingi umefanyika kwenye uchaguzi tukiuona kwa macho yetu. Kwahiyo kama ni kukanusha, nenda ukakanushe kwa washamba wenzako maana ndio hawajui lolote.
Simulitapeli wafuasi wenu kwamba mnaushaidi nakusema mumeeenda kushitaki mahakama za kimataifa?? Sasa tapeli zenuzimeishia wapii?? Maaana mlisema hapa hamtasikilizwa mkatapeli uma kwamba mumepeleka vikaratasi mahakama za juuu sasa imefikia wapi kama mnaushaidiii??
 

Nimecheka kwa nguvu, hivi ww peasant ni kabila gani, maana huo uandishi wa si mumesema, mumepeleka nk.
 
Mkuu baada ya kusoma hii machozi yamenilenga
 
babati acha utoto.
kuna cha utoto hapo, watu mnapewa makavu basi mbadilike, hakuna mtu atakaa milele katika ardhi hii au kiti cha utawala.
sikiliza basi hata redio na vyombo vingine Mama Samia Suluhu Hassan keshategua kitendawil, ugonjwa upo na ukabila achenii
 
Ikija issue ya misaada na mikopo huyo anaitwa mfadhiri/ mdau wa maendeleo. Ikitokea akawa challenge, ghafla hubadilika na kuwa beberu.
Hawa jamaa bwana! Hivi anayenyonya haki za watumishi kwa kutowalipa stahiki zao na nyongeza ya mishahara ya kila mwaka wakati ni haki yao ya kiutumishi anakosaje kuitwa beberu?
 
Sijasema awe kichaa muda wote.

Wakati mwingine.
 
Sawa.

Pole kwa kupoteza muda.
Hatufanani mtazamo.
 
Wewe mjinga unamuita Beberu ikiwa device uliyotumia kuandika huu ujinga imetoka huko huyo Magu kila siku Mzee wa tashwishwi yuko ulaya kutembeza bakuli ujinga huu waambieni wapuuzi sio watu wenye akili

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…