Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

Yaaani mkuu unataka iendeshwe kama genge la nyanya... Kwamba Potelea mbali,, liwalo na liwe...

Nchi ina misingi ya kuiendesha,,, Rais kama ana knowledge kuna sehemu anapaswa aweke akili yake ila pia akiitumia vibaya hio nafasi anaeza feli sana...

AKILI kumkichwa na UJINGA kumkichwa pia.
 

Mkuu, waTanzania siowajinga wanajua wanachotaka.

Makelele ya waroho wa madaraka na mafisadi hayawezi kuvuruga matumaini ya wananchi mill zaidi ya 50.

Wachache waliounda magenge ya upigaji na ulafi wa malizauma na wapambewao ndio wanao mtakia Magufuli mabaya.

Nimetembea katika mradi mmoja tu wa Nyerere hydrapower nikaamini kweli tuna raisi anae subutu,mradi mkubwa kama huu wa umeme unahitaji rais alie jasiri ndio unaweza kuanzishwa, bado kuna reli nk.

Naamini hata hawa wanao jifanya kumponda Magufuli nafsizao zinawasuta sema basitu ni tabia zakutaka kuonekana kama wapo hai.
 
Mfyuuu.

Wewe usie mjinga umefanya kitu gani cha maana.

Beberu is just a jina. So relax niondolee makasiriko yako😏
 
Hakika mkuu

Naamini. Ipo siku watakiri kwa vinywa vyao kuwa alikuwa mtu wa muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…