Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

Watanzania wengi ufahamu wetu ni wamashaka sana yaani kisa mtu anamiliki kitu cha kifaharì na wewe huna basi unaamua tu kutafuta zenge na kuntupia ...

Huyo ommy dimpoz anakampuni ya matakazo na billboard na anatenda za kutosha GSM(yaani kampuni zote chini ya GSM) matabgazo yote ni yake na kampuni nyingine pia zinampa deals anakosaje kuwa na hela sasa..
 
Hii gari imefanyiwa upgrade mkuu sio maybach.
 

Kazini kwake kuna kazi. Ndio maana hela kwake sio issue..ila sasa ramani kusomeka au la, hiyo shida yetu sisi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Yeye bora apande hiyo benzi. Inawezekana akishuka baada ya matembezi yake, wanapanda wenye nayo...sijui wanapandaje lakini. Na hizi ni tetesi..sio habari kamili
 
Hizi vyuma si ndio zile ukiangalia viclip vya rich people i Dubai vimepaki uani kama vinne hivi mixer na mi rolls Royce...aisee umenifungua jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…