Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya.
Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu wanawashawishi wasihame. Sasa eti wanaandamana kuwapinga hao watu wanaowashawishi wasihame.
Haikuhitaji elimu ya degree kung'amua kuwa ile habari imekaa kisiasa. Na waandishi wa habari wametumika vibaya.
Baada ya vijana wa Ngorongoro kugundua waandishi wa habari ni wanafiki na wanatumika kisiasa, leo wamewatia adabu.