Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Acha kufuatilia maisha ya watu kijana
 
Mbona changamoto
 
Na huyo mwanamke aliyechapwa yuko wapi akiwa na hali gani?
Sijajuwa maana ile mwamba kawakuta eneo la tukio Kwenye jumba flani la bloku halija malizika kujengwa
muhuni (mgoni) akawahi kuponyoka akalala mbele. Akabaki mkewe nahisi alishindwa kufanya chochote ndio akakimbilia hapa jirani kwa bimkubwa wake.

Hii asubuhi sijajuwa kinacho endelea bado maana ndio nimeamka sasa hivi na kuna mvua sijatoka nje
 
Jinsia yako tafadhali
 
Ubaya ni kwamba wale wanaopata raha za ndoa huwa hawasimulii kwa yeyote..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…