Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Tajiri Sinabay

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,619
Nyieee....
mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa.

Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga.

Kasimulia kwa uchungu sana hadi nimemhurumia huyu mwamba. Sasa stori zaidi nikwamba baada ya kusimulia akashikwa na kigugumizi hadi akashindwa kuendelea kutoa maelezo na akatoka anakimbia kwa kasi.

Sasa sijuwi kaenda kupiga mtu huko au kaenda kujidhuru mwenyewe sijuwi..

NDOA NI MAIGIZO YASIYO NA HELA
Dizasta vina
 
Wanaulizana mbona Kijana masikini hatoki nje itakuwa analala!
Mimi niko zangu nimezinda tu kimyaaaa nasikilizia zogo zao, mtaa umechangamka ndani ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom