Kuna mwanasimba aliyemuelewa huyu Sadio Kanoute?

Sijui kigezo kilichotumika kumleta huyu jamaa Sadio Kanoute.

Wengine watasema alikuwa kiungo bora kwenye mashindano ya CHAN 2019. Lakini huyu jamaa kifupi anachangia kuzamisha sana mtumbwi wa Simba ana bado wanalazamisha kumchezesha. Ni kiungo asiye na kasi na mpira, kumbuka kiungo mkabaji muhimu uwe na kasi kwa mpira wa kisasa.

Haya ndiyo niliyoyaina kwa Sadio Kanoute.
1. Yupo slow sana
2. Sio mzuri kwa mipira mirefu yaani kuhamisha timu.
3. Hana dribbling hawezi kuhold mpira hasa timu ikishambulia au kushambuliwa.
4. Hana commanding power kwa wachezaji wenzake , sio mtu anayeongea ni muda wote yupo kimyaa tu.
5. Passing accuracy yake ni mbovu, nilishuhudia kwenye mechi moja akipoteza pasi zaidi ya tano mfululizo.

Naombeni mnishawishi nimuelewe, mimi binafsi namuona ni mchezaji wa daraja la kawaida sana.
"Yupo slow sana", game za Simba zote umeangalia? umeona flow ya mpira toka kwa kipa? anayetakiwa kuwa na speed kubwa kati hawa ni yupi kama umeona Simba wanavyocheza mpira kwa sasa, ni kiungo mkabaji au viungo wanaoshambulia?

"Sio mzuri kwa mipira mirefu yaani kuhamisha timu", hii sio kazi ya Kanoute nadhani ni ya Bwallya, anyway anaweza na yeye kufanya ila hawezi fanya kama unavyotaka, ila anafanya kulingana na maelezo ya mwalimu.

" Hana dribbling hawezi kuhold mpira hasa timu ikishambulia au kushambuliwa" ,Kanoute ni kiungo mkabaji, hiyo "dribbling" unataka iwe vipi? maana role yake ni kupata mpira kutoka kwa opponent au kufika kwenye eneo ambalo opponent anakuwa na mpira na kuchukua mpira huo if possible, and the boy does that perfectly.
" Hana commanding power kwa wachezaji wenzake" ,and who is to command a team? chain of command katika mpira wa miguu mnapokuwa uwanjani inaanza na kipa, sasa kama pattern toka nyuma zina wenge, we unataka Kanoute amkomand yupi? Dilunga ambaye kazi yake kukimbia kimbia bila mipangilio au Boko?

"Passing accuracy yake ni mbovu" kama si kwamba mpira unausikiliza kwenye radio nadhani utakubali kuwa kwa sasa Simba game alizocheza mchezaji mwenye pasi nyingi zinazofika kwa targeted player ni Kanoute kama unapinga tufanye review ya mechi then tuone who is the best.
 
kujua mpira ni suala lingine na kuuelewa ni jambo lingine kabisa,kanoute amekata mashambukizi jana,amehamisha mipira michache tu mmoja nadhani ndio uliopotea

hapo kwenye uslow ndio nakushangaa kabisa,nikuulize sasa katu ya kanoute na lwanga yupi ni slow? jamaa anaingia sana kwa watu ndio ttzo lake ila simba ikipata kocha mzr itatulia na itarejea kwenye kiwango

kule mbele ndio kwenye shida bocco na kagere jua limezama
 
Kibu ni mzuri saana ila ana papara anahitaji wataalamu wa psychologically ili asilazimeahe kufunga yeye ili kuonyesha kuwa yeye ni bora bali aelewe mchezaji anayetoa assist ni bora zaidi ya anayefunga
Uzuri wake saana ni upi sasa kama ana papara? Kubadilika inategemea maana wachezaji wa aina hii (machachari) huwa wapo na ni wachezaji wa timu ndogo.
 
Kuanzia sakho ni kituko Banda chenga kanoute hana alichomzidi Yusuph Dunia wa GWAMBINA
 
Hivi huwa unaangalia mpira?
Mechi inachezwa unaona ni kanuote na Inonga tu ndio wanaocheza mpira ( mfano dhidi ya polisi).
Kiungo kwenye double pivot unataka awe na kasi aipeleke wapi ya kazi gani?
Huoni kuwa ikitakiwa kudribble anafanya hivyo vizuri kabisa?
Eti mkimya, ulitaka awaje sasa? Awe anapayuka kifaransa humo si watu watamuona chizi.
Alafu unajipambanua kama shabiki wa Simba, Simba ipi unayoshabikia wewe?
Kuisema team yako sio dhambi simba uyo kanote hana anachomzidi Jacob massawe UNCLE
 
"Yupo slow sana", game za Simba zote umeangalia? umeona flow ya mpira toka kwa kipa? anayetakiwa kuwa na speed kubwa kati hawa ni yupi kama umeona Simba wanavyocheza mpira kwa sasa, ni kiungo mkabaji au viuongo wanaoshambulia?

"Sio mzuri kwa mipira mirefu yaani kuhamisha timu", hii sio kazi ya Kanoute nadhani ni ya Bwallya, anyway anaweza na yeye kufanya ila hawezi fanya kama unavyotaka, ila anafanya kulingana na maelezo ya mwalimu.

" Hana dribbling hawezi kuhold mpira hasa timu ikishambulia au kushambuliwa" ,Kanoute ni kiungo mkabaji, hiyo "dribbling" unataka iwe vipi? maana role yake ni kupata mpira kutoka kwa opponent au kufika kwenye eneo ambalo opponent anakuwa na mpira na kuchukua mpira huo if possible, and the boy does that perfectly.
" Hana commanding power kwa wachezaji wenzake" ,and who is to command a team? chain of command katika mpira wa miguu mnapokuwa uwanjani inaanza na kipa, sasa kama pattern toka nyuma zina wenge, we unataka Kanoute amkomand yupi? Dilunga ambaye kazi yake kukimbia kimbia bila mipangilio au Boko?

"Passing accuracy yake ni mbovu" kama si kwamba mpira unausikiliza kwenye radio nadhani utakubali kuwa kwa sasa Simba game alizocheza mchezaji mwenye pasi nyingi zinazofika kwa targeted player ni Kanoute kama unapinga tufanye review ya mechi then tuone who is the best.
Kwa aya maelezo yako pamoja na majbu bas ni kwel uyu mchezaji sio ambae alikua anaitajika simba ,kama ni kiungo mkabaji alafu bado akawa slow vile utamtetea tu lkn matokea ndio yataamua ukwel simba miaka ya karbun imekosa kiungo mkabaji shap na ambae ananusa hatari kwa haraka na kufka ktk eneo ,rejea ata kuondoka kwa kotei ,hiv uyu anamzd nn kotei,una lwanga una mzamiru una mkude hawa wote ni viungo ambao wapo slo japo ni wa wakabaji na ndio maana rahis sana kucheza faulo kila wakitaka kupokonya mpra au kukaba eneo sifa ambayo ingempa ubora uyu saido ni kuwa tofaut na hao wenzie ni mchezaj ambae kiwango chake hakipishan sana na ndemla ata kama tutaweka ushabik au nin ukwel ni kwamba kwa simba ilipofikia au shida ya simba haikua kiungo mkabaji wa aina yake
 
Simba wanamwacha fraga halafu wanamleta kanuti ,kanuti hana chemistry kabisa na wenzake kuna kitu kinamiss
 
Sijui kigezo kilichotumika kumleta huyu jamaa Sadio Kanoute.

Wengine watasema alikuwa kiungo bora kwenye mashindano ya CHAN 2019. Lakini huyu jamaa kifupi anachangia kuzamisha sana mtumbwi wa Simba ana bado wanalazamisha kumchezesha. Ni kiungo asiye na kasi na mpira, kumbuka kiungo mkabaji muhimu uwe na kasi kwa mpira wa kisasa.

Haya ndiyo niliyoyaina kwa Sadio Kanoute.
1. Yupo slow sana
2. Sio mzuri kwa mipira mirefu yaani kuhamisha timu.
3. Hana dribbling hawezi kuhold mpira hasa timu ikishambulia au kushambuliwa.
4. Hana commanding power kwa wachezaji wenzake , sio mtu anayeongea ni muda wote yupo kimyaa tu.
5. Passing accuracy yake ni mbovu, nilishuhudia kwenye mechi moja akipoteza pasi zaidi ya tano mfululizo.

Naombeni mnishawishi nimuelewe, mimi binafsi namuona ni mchezaji wa daraja la kawaida sana.
Kwa upande wangu bado ni mchezaji mzuri, apewe muda
 
Simba wanamwacha fraga halafu wanamleta kanuti ,kanuti hana chemistry kabisa na wenzake kuna kitu kinamiss
Walisajili kwa maleno ya kuuza.. eti Fraga ni mzee kwa sera yao mpyaaa!
 
Kwa aya maelezo yako pamoja na majbu bas ni kwel uyu mchezaji sio ambae alikua anaitajika simba ,kama ni kiungo mkabaji alafu bado akawa slow vile utamtetea tu lkn matokea ndio yataamua ukwel simba miaka ya karbun imekosa kiungo mkabaji shap na ambae ananusa hatari kwa haraka na kufka ktk eneo ,rejea ata kuondoka kwa kotei ,hiv uyu anamzd nn kotei,una lwanga una mzamiru una mkude hawa wote ni viungo ambao wapo slo japo ni wa wakabaji na ndio maana rahis sana kucheza faulo kila wakitaka kupokonya mpra au kukaba eneo sifa ambayo ingempa ubora uyu saido ni kuwa tofaut na hao wenzie ni mchezaj ambae kiwango chake hakipishan sana na ndemla ata kama tutaweka ushabik au nin ukwel ni kwamba kwa simba ilipofikia au shida ya simba haikua kiungo mkabaji wa aina yake
Mimi binafsi kilichokuwa kinaniuza kwa Mkude ni ile style yake ya backpass nyingi na slowness akiwa na mpira.
Ila,
1. Ana jicho la pasi ndefu na kuhamisha mpira zaidi ya Kanoute.
2. Ana pass accuracy kuliko Kanoute.
3.Anaweza khold mpira na dribble kuliko kanoute.

Kifupi Bora acheze Mkude kuliko Kanoute.
 
Walisajili kwa maleno ya kuuza.. eti Fraga ni mzee kwa sera yao mpyaaa!
Simba ingewapunzisha kwanza wachezaji wapya ,wale wa zamani waendelee maana wakati ule walikuwa wanashinda pia bila chama na konde boy,wangewaacha kwanza wachezaji wapya halafu wanaanza kuwaingiza taratibu kwenye kikosi ,kikosi kikubwa halafu 11 haijulikani tangia pre season
 
Mimi binafsi kilichokuwa kinaniuza kwa Mkude ni ile style yake ya backpass nyingi na slowness akiwa na mpira.
Ila,
1. Ana jicho la pasi ndefu na kuhamisha mpira zaidi ya Kanoute.
2. Ana pass accuracy kuliko Kanoute.
3.Anaweza khold mpira na dribble kuliko kanoute.

Kifupi Bora acheze Mkude kuliko Kanoute.
Kale ka mbwa hakana kalichomzidi Mkude
 
Back
Top Bottom