Kuna Mwanaume Katoka Leo kuendelea na Mikutano ya kisiasa? Baada la Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
 
Una tabia zote za DAUDI ALBERT BASHITE! Au ndiyo wewe mwenyewe! Hebu kuwa mkweli basi.
 
Amani si udhaifu, ni nguvu ya taifa. Kulinda usalama wa wananchi na utulivu wa nchi ni wajibu wa msingi wa serikali.
Hakuna maendeleo bila amani, na hakuna amani bila kuchukua hatua dhidi ya vitendo vinavyoweza kuhatarisha maslahi ya taifa

Nawapongeza akina Heche na wenzie kwa kutii amri bila kukaidi.
 
Sasa leo kulikuwa na ratiba ya mkutano? Taarifa zangu za ndani zinasema wako safarini kuelekea huo mkutano
 
Hapo sasa ndipo mnapokosea CCM wenzangu;yani kwamba kwa sababu tuna uwezo wa kutumia vyombo vya dola kuvunja katiba kuzuia matakwa ya kisheria, kuringia hilo;hiyo ni kejeli kubwa. Kuna kipindi hata hivyo vyombo vya dola vikigundua kwamba vinakosea kuvunja katiba na kuacha maagizo ya kisiasa ujue tunakwenda na maji.
Kubwa hapo ni kujiuliza chama chetu mbona hakikubaliki mpaka tuwashawishi watu na watumishi wa umma kuhudhuria mikutano yetu? sio kutamba
 
Ogopa kitu kinaitwa mda
 
rafiki zetu wa chadema wanaharibu uhuru wa kisiasa nchini
 
Sasa leo kulikuwa na ratiba ya mkutano? Taarifa zangu za ndani zinasema wako safarini kuelekea huo mkutano
Intelligence reveals Leo mikutano ilikua inaendelea Kanda Ya Magharibi walikua wanaanza na Tabora hakuna mkutano hata mmoja uliofanyika na kuna kijiji cha pembezoni mwa Tabora ambapo Heche Kajificha.
 
Intelligence reveals Leo mikutano ilikua inaendelea Kanda Ya Magharibi walikua wanaanza na Tabora hakuna mkutano hata mmoja uliofanyika na kuna kijiji cha pembezoni mwa Tabora ambapo Heche Kajificha.
Ratiba ya mikutano wazi sio suala la intelligence, leonsiku nzima wako barabarani kuelekea kwenye mkutano
 
Hivi bado huelewi hali tete inayowakabili waovu nyie?

Bado unafikiri hayo yanayofanyika sasa hivi ni kuonyesha ujasiri huku kila dalili zinaonyesha kinyume chake?

Kuna lolote la kujivunia hapa; huoni kutapatapa huku kwingi dalili zake ni nini?

Unajuwa kutambua hali tulivu na hali ya wasiwasi katika taifa lolote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…