M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,643 Reaction score 5,733 Jun 27, 2026 #21 Tulitoka ila polccm walituwekea block na walituambia kiroho safi kwa mara ya kwanza nimeskia afande akitumia hii kauli "tunawaomba ndugu zetu mpumzike kwanza tuangalie upepo kwanza"
Tulitoka ila polccm walituwekea block na walituambia kiroho safi kwa mara ya kwanza nimeskia afande akitumia hii kauli "tunawaomba ndugu zetu mpumzike kwanza tuangalie upepo kwanza"
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Jun 27, 2026 #22 NgerukeAbra said: Muda huu utapita Click to expand... Na utapita na Samia na Genge lake. Tanzania haihitaji tena watu waovu wa aina hiyo.
NgerukeAbra said: Muda huu utapita Click to expand... Na utapita na Samia na Genge lake. Tanzania haihitaji tena watu waovu wa aina hiyo.
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 Jun 28, 2026 #23 Makuku Rey said: Mbona MWIGULU NCHEMBA alifanya mkutano huko SINGIDA?au unamaanisha mikutano gani? Click to expand... Kile ni kikao kazi
Makuku Rey said: Mbona MWIGULU NCHEMBA alifanya mkutano huko SINGIDA?au unamaanisha mikutano gani? Click to expand... Kile ni kikao kazi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 30, 2026 #24 Muda huongea... Cc: Mahondaw