Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

Wengi wanasoma ila kuelewa ni ngumu
 
Kuachana inatokea tu ,mnaweza shindwana kwa mambo mengine kabisa
Basi ndio ajue kila mwanamke na changamoto zake, kumlinganisha huyu na yule hizo ni HILA... kama yule ni wa maana sana angebaki na yule, na kama mapenzi kwake ni kusapotiwa basi asingemuacha yule

Japo najua jamaa kaleta chai, kuchangamsha kijiwe tu.
 
Sasa nikusanue kijana sisi wanawake tukipenda kweli mpka tunahonga unaweza kuamini😀

Ukiona mahusiano yako wewe ndie unatumia nguvu ili mambo yaende ujue wewe mizani imezidi kwako kaa chonjo

Penzi la kweli hua halitaki mbwembwe nyingi vitu vina kua automatically
Ndio maana for me siwezi kumuomba hela mwanaume kama hawezi kutoa mpaka nimuombe huyo hatuna bond

Iko hivi kama huyo dada angekua kamelewa mshikaji asingetulia lazima angefanya kitu🫰

NB mapenzi ni utapeli
 
Basi ndio ajue kila mwanamke na changamoto zake, kumlinganisha huyu na yule hizo ni HILA... kama yule ni wa maana sana angebaki na yule, na kama mapenzi kwake ni kusapotiwa basi asingemuacha yule

Japo najua jamaa kaleta chai, kuchangamsha kijiwe tu.
Yeah ni kweli , ila pia alichoongea ni sahihi, mahusiano ni kusaidiana
 
Brother, tafuta hela.. Unakaa home unasubiri mwanamke akuletee chakula??? Na alaaniwe mtu yule amtegemeaye mwanadamu, wewe umeenda kuitegemea pisi.
 
We nae acha uroho..!!
Bila shaka wewe mpare?
Yani mwanamke hujamuoa tayari unapigia ratiba zako za msosi kwao?

Na bila aibu unakumbuka ex wako alivyokuwa anakuhudumia khaaaa..!!
Nashangaa hili wimbi la wanaume kutaka kulelewa siku hizi. Wananitisha sana, naona baada ya miaka kadhaa mbele vidume tutabaki wachache saaaana.
 
Kusaidiana majukumu sio kulelewa , mzee wangu na b mkubwa walisaidiana sana na tuliishi na tuna ishi maisha mazuri mpaka leo kwa nguvu yao ya pamoja
Achana na wanandoa, hata mimi wazazi wangu wamesaidiana sana. Kwenye ndoa ni kawaida. Lakini anachokifanya huyo haina utofauti na kudanga.
 
Achana na wanandoa, hata mimi wazazi wangu wamesaidiana sana. Kwenye ndoa ni kawaida. Lakini anachokifanya huyo haina utofauti na kudanga.
Kusadiana kupo sana tu , inategemea unakutana na wanawake wenye mind set gani na uwezo upi, na kwenye mahusiano kusaidiana ni jambo la kawaida sana , hata akikufulia tu ni msaada mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…