We naye hebu kuwa serious basi, ukiletewa hiyo pipi ya 50 ndio utaona uzito wa penzi?Huyo mapenzi hata pipi ya hamsini inamshinda mkuu? Basi Hana faida yoyote, maandiko yameanandika heri mkono wa kutoa sio wa kupokea tu Kila siku, usipende kuwa wakupewa tu toa hata kidogo, kama Leo kidogo huwezi toa kesho hata ukipewa kikubwa hutoweza,
Mkiletewa boxer na soksi si hamzitaki sikuhizi, kumbe bado kuna kundi linalilia boxer! Ila coco melon mna vituko, eti ice cream 😅mwanamke ambe hawez mpa mpenziwe hata zawadi ya boxer tu ye ni saloon na cream basi huyo ni mbinafsi ana weza hata kukuua kabisa mana hana mapenzi nawewe. Kuna kitoto cha efu mbili kikimpa mpenziwe ice cream, nilifurahi sana, ndo mapenzi sio mtu Yani ye ni sina mama sina
Inawezekana wanalipepea penzi. Choka mbaya uzawadiwe nini? Si utakua unalelewa?! Utaishia kuichapa na kupata watotoGsm ni tajiri ila mkewe amemzawadia nyumba oyster bay tena ameonesha akisimamia kipindi injengwa, Ronaldo alipewa gari na demu wake, Kuna mapenzi ikiangalia tu unaona hapa🔥🔥🔥🔥🔥, Kuna hawa wetu eti hadi pipi ya hamsini inamshinda
Hao jamaa vimeo sana..!! 😹😹
🤣🤣🤣Hao jamaa vimeo sana..!! 😹😹
Halafu wafupi, wabishi na wajuaji balaa..!
Hawa kina Mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu ni gold diggers tuGsm ni tajiri ila mkewe amemzawadia nyumba oyster bay tena ameonesha akisimamia kipindi injengwa, Ronaldo alipewa gari na demu wake, Kuna mapenzi ikiangalia tu unaona hapa🔥🔥🔥🔥🔥, Kuna hawa wetu eti hadi pipi ya hamsini inamshinda
Yani demu hata kukupa tu pipi hawezi huyo si mchunaji tu, eti hata kukupa kidogo kwenye kile unacho mpa wewe hawezi, Yani hata kama Hana basi kile unacho mpa wewe atoe tu kidogo akupe hawezi, mhh gold digger huyo mkuu, stukaHawa kina Mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu ni gold diggers tu
Unakuta Dem unalipa upendo unaligharamikia Tena na Tena ila kurudisha fadhila halijui Yani limezoea kupewa tuu,The day before ya pasaka nilienda mahali kupunguza stress kwa Bahati mbaya hata Ile pesa ndogo niliyokuwa nayo nikaimaliza ishu na survive vipi hichi kipindi cha holiday mpaka pale nitakapopata pesa.
Kuna manzi kama nyumba ya tatu nipo naye kwenye mahusiano anakaa kwao kwa vile ni sikukuu na yeye ni mkiristo basi mchana aniletee pilau ili bajeti ya kununua chakula siku hiyo isiwepo mpaka saa kumi yule dada hajaleta chakula afu hakuna taarifa ya kueleweka ikabidi nijiongeze nipike ugali na mayai chap baadae namuuliza vipi anadai kwao palikuwa na wageni wengi asingeweza kutoka na chakula kuniletea.
MI nakumbuka Ex wangu zamani ukimwambia una njaa chap anakuletea hotpot limejaa msosi penzi anatoa kwa wakati ukikwama anakusapoti ilikuwa inanogesha upendo hata mimi siku nikibahatika kuokota vibunda namkumbuka mtoto wa watu penzi fulani lilikuwai two way traffic linatoka na kurudi
Yupo sahihi sana Yani Kuna wanawake mnakuwa wabinafsi mnajiangalia nyie kama nyie Yani mnajiona nyie ndo mnastaili tuu na mnaona ni halali na ni haki,Ukilinganisha mapenzi kutumia case study za namna hii, hata mpenzi wako utamuona hakufai kwa namna yoyote ile! Mambo usiyoyajua kiundani yaache kabisa..
GOLD DIGGERSYupo sahihi sana Yani Kuna wanawake mnakuwa wabinafsi mnajiangalia nyie kama nyie Yani mnajiona nyie ndo mnastaili tuu na mnaona ni halali na ni haki,
Cha kushangaza hata tuu shukrani wengine hamna lugha za kimahaba kumvutia bwana ako hata kuita bebi, mume wangu hakuna, jianamke kama mjeshi hata mahaba halijui la nini Sasa
Nyie ubinafsi ni asili yenu, acha blah blah. Nini ambacho mnatoa mkipenda? zawadi ya vest na pea mbili za soksi wakati wewe umenunuliwa smartphone, ndio unasema umeonga hapo?Sasa nikusanue kijana sisi wanawake tukipenda kweli mpka tunahonga unaweza kuamini😀
Ukiona mahusiano yako wewe ndie unatumia nguvu ili mambo yaende ujue wewe mizani imezidi kwako kaa chonjo
Penzi la kweli hua halitaki mbwembwe nyingi vitu vina kua automatically
Ndio maana for me siwezi kumuomba hela mwanaume kama hawezi kutoa mpaka nimuombe huyo hatuna bond
Iko hivi kama huyo dada angekua kamelewa mshikaji asingetulia lazima angefanya kitu🫰
NB mapenzi ni utapeli
Likija suala la kutoa wanawake huwa hawaishiwi sababu. Hawa wenzetu ni wabinafsi sana.Huyo mapenzi hata pipi ya hamsini inamshinda mkuu? Basi Hana faida yoyote, maandiko yameanandika heri mkono wa kutoa sio wa kupokea tu Kila siku, usipende kuwa wakupewa tu toa hata kidogo, kama Leo kidogo huwezi toa kesho hata ukipewa kikubwa hutoweza, mwanamke ambe hawez mpa mpenziwe hata zawadi ya boxer tu ye ni saloon na cream basi huyo ni mbinafsi ana weza hata kukuua kabisa mana hana mapenzi nawewe. Kuna kitoto cha efu mbili kikimpa mpenziwe ice cream, nilifurahi sana, ndo mapenzi sio mtu Yani ye ni sina mama sina
Kaka jamani anaetoa hivyo ulivyataja hapo pengine ndio uwezo wakeNyie ubinafsi ni asili yenu, acha blah blah. Nini ambacho mnatoa mkipenda? zawadi ya vest na pea mbili za soksi wakati wewe umenunuliwa smartphone, ndio unasema umeonga hapo?
Mtoa mada katumia hilo suala kama case study tu. Lakini mpaka akahitimisha kwamba mwanamke sio supportive lazima kuna selfishness zingine kaziona, kwamba yeye ndio anatumia nguvu kubwa ku-maintain hayo mahusiano.Binti yupo sahihi, mwanaume hajaoa uanze kufanya maarifa ili ale, akioa si ndio utabeba jukumu lote 🤣?
Tafuta mihogo, weka ndani, ukipiga chai hadi jioni uko vizuri (Binti asijue una hali mbaya, hata kama hauko sawa), pima upendo kwa vingine (unasikilizwa, kutiwa moyo na vitu kama hivyo) na sio kupewa chakula.
Fanya mpaka unapoweza. Kuwa totally liability kabisa haipendezi. Unakuta hata mkipanga kukutana tu mwanamke anataka mpaka buku mbili ya bodaboda alipiwe.Kaka jamani anaetoa hivyo ulivyataja hapo pengine ndio uwezo wake
Ila ikiwa ana uwezo wa kutoa zaidi hapo ndio neno ubinafsi hua unaonekana