Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

Kusadiana kupo sana tu , inategemea unakutana na wanawake wenye mind set gani na uwezo upi, na kwenye mahusiano kusaidiana ni jambo la kawaida sana , hata akikufulia tu ni msaada mkubwa sana
Naona na wewe umekerwa na kitendo cha shem kama shem kuto mpelekea kijana wetu pilau. Hahahahaaaa
 
Wapo mkuu, kama huletewi wewe wapo wanaopelekewa.

Mapenzi ya agape pia utayapata kwa masingo maza, hao ndio ganda la ndizi unateleza kama wewe ni mpenda vitonga kama Poor Brain
Kuna mdada nimempata ila ana mambo ya kishangazi et kasema niachana na biashara zangu nikakae nae tegeta nyuki huki huko sijui...

Anasema kila kitu ataghalamikia.
Nikamwambia mama mzazi mama akanipiga marfuku akasema ole wangu
 
Tofauti na kupewa **** unataka akusapoti kitu gani kingine ?
 
Ulimwacha Mwanamke supportive sasa hivi unatafuta tena?
 
Kama Hana hata hivi vya kudanganyia sasa unakaa naye wa nini?
Cha kushangaza hata tuu shukrani wengine hamna lugha za kimahaba kumvutia bwana ako hata kuita bebi, mume wangu hakuna, jianamke kama mjeshi hata mahaba halijui la nini Sasa
 
Kuna mdada nimempata ila ana mambo ya kishangazi et kasema niachana na biashara zangu nikakae nae tegeta nyuki huki huko sijui...

Anasema kila kitu ataghalamikia.
Nikamwambia mama mzazi mama akanipiga marfuku akasema ole wangu
😂😂😂 hutaki kulelewa kijana?
 
Sasa pesa inaingia mfuko huu na kutokea ule inaumizaje?
Lol
 
[emoji81][emoji81][emoji81] We nae acha uroho..!!
Bila shaka wewe mpare?
Yani mwanamke hujamuoa tayari unapigia ratiba zako za msosi kwao?

Na bila aibu unakumbuka ex wako alivyokuwa anakuhudumia khaaaa..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…