Bado hamjasemaKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Nanyi mkiona kulala ndo kupata ushindi laleni basi mshinde.We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Kunywa soda baridi upunguze stressKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Jibu kama mtu aliepevukaNanyi mkiona kulala ndo kupata ushindi laleni basi mshinde.
Tushakubaliana ni mwendo wa goli tano tano tuKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Fact, mishahara na posho zimeshapatikanaLeo sport pesa wamepiga hela yao ya kutosha..nyie mnakazi ya kulalamika, kutukanana. Shaulizenu.
Mpaka mseme yoteLabda ukinambia kuhusu Muda uliopotezwa hata Mimi namshangaa Hance Mabena katoa wapi dakika 6 pekee. Mpaka kipa analalamika kurushiwa chupa ilikuwa dakika ya 87 yaani bado 3 nzima. Kwa hiyo mbali ya kujilaza na yeye kufanya marekebisho wakati wa foul kaongeza dakika 3 tu?
Kulalamika kumeanza.Yaani kuna goli la offside au ufupi wa kipa???Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Kateni rufaa.Goli zote 2 sio halali.Labda ukinambia kuhusu Muda uliopotezwa hata Mimi namshangaa Hance Mabena katoa wapi dakika 6 pekee. Mpaka kipa analalamika kurushiwa chupa ilikuwa dakika ya 87 yaani bado 3 nzima. Kwa hiyo mbali ya kujilaza na yeye kufanya marekebisho wakati wa foul kaongeza dakika 3 tu?
Leo lawamaMpira niliangalia kulikuwa hakuna sababu yoyote ya mechi ya Leo yanga kufungwa , tatizo la wachezaji wetu ustaa Ukizidi wanabweteka, angalia goli la kwanza lilipatikanaje? Faulo isiyokuwa na sababu yoyote kulikuwa na haja gani mwamnyeto na diara kufanya vile walivyofanya Mpaka faulo ikapatikana? Na bado diarra ana udhaifu mkubwa wa mipira ya juu tangu alivyofungwa na vipers hajaweza kujirekebisha .
Kibwana hakustahili kuwepo kabisa
Haiwezekani timu ifanye makosa utegemee refa
HahahaBado hamjasema Umbwa nyie
Ndio😂😂Kwani mliingia mkataba na TFF kwamba ni lazima mshinde kila mechi?
Yanga wamejifunza, kucheza na vitumu vya mfukoni hivyo, vinavyokula magimbi na maharagwe, vinaweza kukuumizia wachezaji wako unaotarajia mwezi huu huu au ujao wacheze kimataifa. wamejifunza kwa Inonga alivyocheza na coastal ambao hawana uchungu wowote kimataifa na hawategemei kwenda, walimuumiza beki yule bila kujali kwamba kwenda kuwakilisha kimataifa anaiwakilisha pia nchi yetu sisi weneywe. hivyo yanga wamestuka, ukicheza na hizo mburukutu jifanye mjinga wakija ruka wasije kukukwatua tukashindwa kwenda mbali. wacha wakufunge tu hata wakitaka ila msiwe na majeruhi kwasababu ya timu zisizoeleweka.Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...