Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

Kwaule muwa alopigiwa diara bao laushindi unazan kunakipa anadaka ile famasiala nin, kama nihivyo bhas mechi zisingekua namagol
 
Reactions: BRN

Acha umbumbu, mmechapwa na msimu uliopita mlichapwa na Ihefu. Hao ni madume yenu ya mbegu kila msimu, mbakula mwiko nyuma kila msimu na kutoka na mapacha!
 
Reactions: BRN
Mkuu ni kosa gani ambalo mwamuzi amelifanya ambalo moja kwa moja limeathiri yanga isipate matokeo? Nadhani vilabu vyetu vikubwa vya simba na yanga tujifunze kukubali matokeo mabaya tunapopata.
Faulo aliyotoa Kwa ihefu ikazaa Goli la Kwanza haikua na uhalali wowote aliyechezewa rafu ni Mwamnyeto lakini faulo ikapigwa kwenda Yanga kwann
 

Yanga inayo hati miliki ya kushinda ligi? Nani kakwambia? Timu zipo 16 kwa nini mshindi awe ni Yanga tu? Atakayekuwa na msimu mzuri ndiye atakayeshinda kama unaujua mpira sawa sawa!
 
Haya ndiyo mawazo ya wapumbavu.

Tena bado bodi ya ligi iwaadhibu kwa kurusha mawe uwanjani.

Ainisha hizo tuhuma mjinga we uliekariri Yanga haifungwi.
 
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia.

Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu.

Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Kumbe hoja ndiyo hizi!

Uto bhana.
 
Reactions: BRN
Ngoja tuone mechi tatu zijazo tujue tuko wapi mikimbio ya mzize na msonda kwangu mm sifurahishwi nayo
 
bado hamjasemaaa
 
Reactions: BRN
Jakuna sehemu Yaga alipohujumiwa,
 
Reactions: BRN
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia.

Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu.

Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Wachezaji wa ifefu kukupoteza mda ni hujuma kutoka TFF? Mpira utakuwa umeanza kushangilia ukiwa mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…