Watakua wanajiamini kwa wanakoelekea kwenye ligi.Kwahiyo hata Tarimba Abbas amefurahi huko aliko? Huu sio usaliti kwa timu yake? [emoji23][emoji1787]
Kwenye dakika tisini mlikuwa wapi mpaka mje mtegee dk za nyongeza.We umeangalia ule mpira au unaleta hisia.
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu.
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Hiyo ni mbinu pia acha kuliaWe umeangalia ule mpira au unaleta hisia.
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu.
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Hii kauli nayo inaongeza mashakaDiara kala PESA. Si kwa kufungwa
"Kila mtu"?Kuweweseka kumeanza mapema.Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya.
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa.
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu.
Mtanielewa baadaye
Upuuzi mtupuKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya.
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa.
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu.
Mtanielewa baadaye
Yaani Uto wamesahau walipataje Ubingwa miaka miwili iliyopita ...mfano mzuri ni Ile Kona....😁Mkuu ni kosa gani ambalo mwamuzi amelifanya ambalo moja kwa moja limeathiri yanga isipate matokeo? Nadhani vilabu vyetu vikubwa vya simba na yanga tujifunze kukubali matokeo mabaya tunapopata.
Nashangaaa sana ,Sasa Yanga isifungwe Ina nini jamani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu ni kosa gani ambalo mwamuzi amelifanya ambalo moja kwa moja limeathiri yanga isipate matokeo? Nadhani vilabu vyetu vikubwa vya simba na yanga tujifunze kukubali matokeo mabaya tunapopata.
Watasema mbonaaa!!!!Unaongea utadhani yanga walifunga goli sita zikakataliwa.
Mmeanza malalamiko..mbona mapemaKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya.
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa.
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu.
Mtanielewa baadaye
Nimeshangaaa ujue kama walicheza malaika vileHakuna timu isiyofungwa Duniani, vinginevyo unajifunza kufuatilia soka. Yanga isifungwe kwa kipi hasa!?
Sent using Jamii Forums mobile app