Tetesi: Kuna nchi jirani ambayo magari yake yanapita free bandarini bila kukatwa kodi

Mkuu, unaanza kujiskia vibaya kwa tetesi tu! Hivi umejiuliza kama hilo jambo linawezekana? Kwamba hizo handling charges (haiwezi kua ushuru) wanazotozwa Rwanda ni tofauti na wanazotozwa nchi nyingine? Alichosema mtoa mada ni serious allegation na alitakiwa afanye uchunguzi na ailete ikiwa ni habari kamili na si tetesi
 
Huwa nashindwa kuelewa pale mtu anapoanzisha mada kwa kutaka aanzishe bila kuzifanyia uchunguzi ajue nn ukweli wake.
Wengine humu wanafaa kuandika mada za chitchat tuu huku kwingine wanapelea sana
 
Siku zote atakapo kuwepo Faiza nauhakika hakuna jambo litakaloshindikana
Hayo majibu ni Murua saana uliompa dadangu..
Majibu hayo na imani hata huo Uzi hautafika second page[emoji1]


Sent from Calculator Phone vesion007
 
Wewe ndiye mburura, kipindi cha Mkwere nyie ndiye mliwafukuza Rwanda kuacha kutumia bandari yetu, sasa unaona jitihada zinafanyika za kurudisha biashara hiyo wewe inakuja hapa unatoa mapovu. Unadhani Serikali hii inafanya kama ninyi mlivyozoea kufanya biashara na wahujumu uchumi?
Huu mchezo wa kibiashara hauhitaji hasira ndugu.
 
Ajabu sana mtu hajui hata Transit ni nini?
 
Ajabu kuna nyumbu wanamfuata tu nao wakaliwe na mamba!
 
mods muwe mnafuta nyuzi kama hizi zenye kuleta uchochezi kuliko kugawa ban kwa watu,
kwa style hii hata heshima ya jamiiforum itashuka mara dufu.

".No woman No cry.."
 
wajameni msiwe na wivu kihivyo bana.
mwenzenu hapa kijijini kwetu ni jirani zaidi na Rwanda kuliko the rest of Tanzania.

so, kiukweli kabisa kwangu mimi Rwanda ni kwetu zaidi. msema kweli ni mpenzi wa Mungu wajameni mcheza kwao hutunzwa. niombeeni!
 
Inamaana mnawarudisha kwa kuwapa Bure?
Acha hoja za ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…