Tetesi: Kuna nchi jirani ambayo magari yake yanapita free bandarini bila kukatwa kodi

Unashangaa wakati tunatawaliwa na mtu mwenye asili ya huko
 
Je unazijua sheria za kodi? Je unajua magari na mizigo ya transit inapaswa kulipia nini? Ukijibu hayo maswali nitatoa mchango wangu.
 
Mkuu wacha kututusi Wakerewe yaani unafananisha Ukerewe na mambo ya ajabu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anisaidie kwa kweli yaani chuki yangu dhidi ya utawala huu wa ccm nitaieneza kwa uzao wangu wote. Unaua uchumi wa nchi yako kwa zawadi ya ng'ombe uliozawadiwa na kagame.Ni shiiiiiiiiiida kwa mtu huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mtoa post asije akawafanya watu kwenye akili zenu mkaonekana hamfai na hamjui kitu. Mimi ni Agent wa kutoa magari na container bandalin, kitu nisichokielewa kwa mtoa post sijui anamaanisha kodi ipi, magar yanayopitia bandarin yanalipiwa gharama za bandalin na wakala ma meli ( shipping line) sasa kodi anayosema ni ya wapi? Kuweni makin kabla hamjachangia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana hilo halifanyiki ndiyo maana kasema tetesi lakini kuna prevellage nyingi anazozipata huyu kagame kupitia huyo magu ambazo ni athari kwa watz kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mwalimu mnoko kupitiliza kwenye hiyo shule ni FaizaFoxy

Huoni kuwa wamekusadifu mafunzo/elimu/ilmu
Teh teh
 
Yawezekana hilo halifanyiki ndiyo maana kasema tetesi lakini kuna prevellage nyingi anazozipata huyu kagame kupitia huyo magu ambazo ni athari kwa watz kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hilo labda linawezekana, ila ujue shipping line charges sio za serikali kwa hyo iko palepale, na upande Wa bandar walitoa VAT iliyowafukuza na kuanza kutumia bandal nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi ipi unamaanisha??
Kwa taarifa yako hata kwetu Gari za Nchi jirani HAZILIPI KODI, zinapita kama "In Transit-IT) tu. Maana yake huko kwenye nchi zinakoenda zitaenda kutozwa kodi. Sasa zikitozwa na hapa kwetu inakua Double Taxation.

The East African Community Customs Management Act (EACMA) inazungumzia hili.
 
Kama zipi hizo? Taja tatu tu.....!!
Raia wa kagame kupewa vibali vya makazi na kuishi nchini hivyo wameingia hadi jeshini kama watanzania na hivyo jeshi haliwezi kuwa salama dhidi ya kagame mf mwese katavi watusi wamepewa. Now. Ni eneo gani kwa kagame watanzania wamepewa ardhi na wanaishi.
Mbili, Warundi wamepewa ardhi wanafugia mifugo na kunyanyasa wenyeji mf bukoba.
Mwisho, miaka ya hivi karibuni jk akiwa rais kuna mwanajeshi mwenye cheo kikubwa sana jeshini alikuwa wa huko aliondoka mazingira tatanishi karudi rwanda na Burundi. Hatuko salama daima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabongo kweli vilaza..

napendekeza kuwe na interview kabla ya kujiunga jamiiforums..

jitu halijui hata maana ya transit kweli???

sasa wakitozwa kodi hapa tanzania... revenue authority ya rwanda itapata nini hayo magari yakifika rwanda????

kweli tuna safari ndefu kama hata hili hatulijui.. na hapo unaweza kuta mtoa mada ana masters degree
 
Kwa hiyo hii imigration ya Tutsi imeanza kipindi cha Magu? Ndo nafuu pekee Kagame amepewa na Magu? Hizi akili hizi..
Ktk andiko langu niliitaja ccm ambayo na Magu ni included. Na haya yamefanywa na serikali ya ccm. So kipi hujaelewa.
Tatizo mmeingia humu kwa dharula tu .Elewa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe ushachangia pia ni mpenzi wa tete tete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…