Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?


Huwa mnatumia nini kabla ya kusimuliana hizi story za kijinga hadi watu na ndevu zenu mnaziamini kabisa? Ujinga bado ni janga la taifa hakika.
 
Story za vijiweni. Mnapenda sana strory za hearsay zisizo na chembe yeyote ya ithibati. Bongo hii kama bado hujasingiziwa una ngwengwe, freemason, au una uza ngada ujue bado hujatoboa.
Chuoni kuna demu ilisambaa ana ngoma na kila mtu akaamini hivyo,kwanza aliwahi ugua sana basi bwana ikatokea yule manzi kunikubali akanisumbua sana mimi namkwepa siku nikaona nimvhane dah aliliaa siku hiyo hiyo akaniambia twende hospital yoyote tukapime na kweli tukapima hola. Sijui kwanini kuna wakati watu wanasingizia wenzao vidudu yule manzi nilikaa nae miaka 3 washikaji wakawa na shaka nikawathibitishia kua ni mzima na hapo ndo zile rumours zikakoma.
 
Usiri wa taarifa za mgonjwa hauna excuse wala exception. Vyovyote vile iwavyo lazima ulindwe kwa nguvu zote. Tunampenda Cherry, hata mm nakubali kazi zake, ila kwenye hili dada yetu kateleza.

Huyu Cherry ni daktari? Kuna leseni yeyote anamiliki au kutumia katika shughuli zake? Kama hana basi kavunja moral rules tu ila halazimiki kuzifuata. Kama kavunjiwa heshima au kuchokozwa ana haki zote kujibu mapigo vile apendavyo. Vitani huchagui silaha. Huwezi mchokoza mtu afu ukamchugulia matusi ya kukutukana.
 
Ni VEMA kuheshimu watu watu wanatujua vizuri wanasubiri ulianzishe wao wajibu
 
Ugonjwa ni siri ila kila familia possibility ya kuwa na MVIU ni kubwa.
Shida watu wanadhani kupata ngwengwe ni ngumu sana la hasha si ngumu, mfano nilipo kuwa chuoni unakuta demu Mmoja kaliwa na watu zaidi njoo mtaani sasa ndo usiseme demu Mmoja ana wana sita na wote end of the day wanne au watatu lazima walombe tutaponaje mkuu kama si kudra za mungu
 
Hili jambo lakini limekaa kimtego sana. Ni mfano wa ethical dilema kubwa sana. Maana ukimtangaza unavunja right to privacy ya mgonjwa. Ukimfichia siri unahatarisha afya za anaotembea nao.

Nafikiri mwisho wa siku ni vyema tukabaki kwenye msimamo wa sheria. Anayesambaza VVU kwa makusudi afungwe.
 

Kumbe Dotto alikua teja
kwasasa hakuna mdada tena atakayeingia KING.

Sio kweli
 
Tanzania ni nchi ya tano duniani kwakuwa na wagonjwa wengi wa HIVView attachment 3637579
Asante sana kwa hii ila absolute numbers huwa zinadanganya. Ukilinganisha na jumla ya watu katikanchi. Kitu tunachoweza ku compare ni Prevalence Rate

Hapa kuna kiwango cha asilimia ya maambukizi (Prevalence Rate miongoni mwa watu wazima wenye umri wa miaka 15–49) kwa kila nchi kati ya zile 40 zilizopo kwenye chati, kulingana na takwimu za karibuni za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI (UNAIDS) na Benki ya Dunia:
Na.NchiIdadi ya Watu wenye HIV (Kwenye Picha)Kiwango cha Asilimia (Prevalence Rate 15–49)
1South Africa7,800,00014.4% – 17.3%
2India2,600,0000.2%
3Mozambique2,500,00012.6%
4Nigeria2,000,0001.3% – 2.2%
5Tanzania1,800,0004.5% – 8.2%
6Uganda1,500,0005.0%
7Zambia1,400,00011.0%
8Zimbabwe1,300,00011.6% – 23.1%
9Kenya1,300,0003.7% – 5.3%
10Brazil1,100,0000.6%
11Malawi990,0007.7% – 11.4%
12DR Congo610,0000.7%
13Ethiopia600,0000.9% – 1.4%
14Thailand570,0001.3%
15Indonesia570,0000.5%
16Cameroon510,0002.7% – 4.0%
17Ivory Coast410,0002.7%
18Mexico400,0000.35%
19Angola370,0002.1%
20Botswana360,00015.7% – 22.8%
21Pakistan350,0000.1%
22Ghana330,0002.0%
23Myanmar290,0001.2%
24Lesotho260,00017.1% – 26.2%
25Rwanda240,0002.9%
26Colombia230,0000.6%
27Eswatini220,00023.4% – 28.3%
28Namibia220,00011.8%
29Philippines220,0000.2%
30Spain160,0000.7%
31Haiti150,0002.2%
32South Sudan150,0002.4%
33Italy150,0000.3%
34Argentina140,0000.65%
35Republic of the Congo130,0003.8%
36Guinea130,0001.4%
37Peru130,0000.3%
38Papua New Guinea120,0000.9%
39Chad120,0001.2%
40Benin70,0001.0%

Tofauti Kuu Inayoonekana Hapa:​

  • Eswatini, Lesotho, na Botswana zina idadi ndogo ya watu kwa jumla (k.m. Eswatini ina watu karibu 220,000 pekee wenye HIV), lakini zina Prevalence Rate kubwa zaidi duniani (zaidi ya 15% - 28%).
  • Nchi kama India, Nigeria, au Brazil zina namba kubwa ya wagonjwa kwenye chati (watu milioni 1.1 hadi 2.6) kwa sababu tu ya kuwa na idadi kubwa sana ya watu kwa jumla, lakini Prevalence Rate zao ni ndogo sana (chini ya 2%).
  • Kwa upande wa Cameroon, ikiwa na prevalence rate ya 2.7% – 4.0%, iko katikati β€” haina kiwango kikubwa mno cha asilimia kama nchi za Kusini mwa Afrika, bali idadi yake ya watu (milioni 28+) inafanya namba kamili kufikia elfu 510.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…