Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

"Kizaa zaa gumzo gumzo kwa mabronzo ,masista du ,machizi,walimu na wanafunzi ni kazeze ni kazeze ni kazeze" -OCG

"Kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa ,kumantain ni kazi kama hauna stamina backstage haina ulinzi wanapita kama counter,mademu mnawapitia makwao hamuwangojei CD za Show mnakuja kuwauliza ma DJ ,ukisikia Sound nzuri basi ujue wa nje siyo wa hapahapa" - Simon Makini - Brand
 
Sijajua mkuu ,inaonekana Dotto Magari ndiye aliyeanza na MentorCherry akampa warning kwamba aache kumtukana lakini Dotto hakusikia ndiyo naona akaamua Kufungua VAULT.
Habari nyingi za Ig unakuaga nazo, upo sambamba na Gen z
 
Hongera kwake kwa kuacha urahibu.
Hela yake tu! Kuna wanawake hawaogopi ngwengwe ataambiwa avae tu condom
Mmmh hivi unawajua mademu kweli wewe? Demu ukimpa OFFER kubwa ya pesa na kumwambia unaenda DRY anakubali fresh tu.


Haujawahi kuona wale wanaosema na NDOMU Twenty ila Dry ni Hamsa.
 
Ngwengwe ipo inatembea kimya kimya mjini. Nilishasahi kufanya kazi USAIDS nilikua upande wa masuala ya finance. Mzigo wa njugu ulikua unapitia kwenye department yangu. Nilikua naona.
Lakini data za clients wapya nyingi ni kubumba sana, atleast kwa sasa baada ya kuleta mambo ya finger print japo bado kuna michezo ipo, nimefanya huko miaka 5 so najua ninachoongea(ghost Clients)
 
Madai mazito kweli kweli ila wajuba Acha tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini
 
Teeth wana mambo mengi ya msingi kuliko kufuatilia huo useng...e
 

Hearsay stories again. Kama story za ushirikina kila mtu kasimuliwa ila hakuna uthibitishio ila sababu mnasimulianaga mkiwa vilabuni sishangai. Miafrika na ujinga:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…