Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
Kama wanalala kwenye hotel/Guest,wanaongeza ajira kwetu na kodi,wenye mahoteli/guest,wataongeza wafanyakazi,na pia wakilipia vyumba,wataongeza kodi nchini.
 
Nilipoenda Uarabun ndio vibarua Kule.hii nchi yetu ni tajiri wanaweza kuwa wamekuja kufanya kazi.
 
Watakuwa wamekuja na wimbi la tatu la corona virus, delta variants🤸‍♂️🐒🤣
 
Wamekuja kuchukua kazi zetu? Kazi zenyewe ziko wapi? Sectors zote zinachechemea. Kama Ummy Mwalimu ametoa ajira za waalimu wa hesabu 449( mia nne...), huku sector nyingine itakuwaje? Maumivu!
 
Back
Top Bottom