Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

Kuna kiwanda Fulani hapa dar Cha wahindi Kuna project inaendelea.
Wamekuja Kama 200 ivi. Labda hao ndo uliowaona
 
Uhamiaji wa bongo wanaogopa ngozi nyeupe Sana plus police
Ngozi nyeupe hata waAfrika wapo wengi... haswa waTanzania makabila mengi ni weupeeeee... viongozi wengi ni Peee!!
Sasa acha ubaguzi!! Rangi ya mtu inahusu nini ktk kuchukiwa??????
 
Back
Top Bottom