Makampuni (mengi ni ya Wahindi) yameruhusiwa kuajiri yeyote wanaemtaka, sababu pesa ni zao na wao ndio wanajua nani wana imani nae.Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!