Kuna nini mpaka sasa hatuna rasmi Matokeo ya mwisho kutoka Mlimani City?

Ahadi za ulaji wa kudumu siyo chips.
Mtanzania yupi mwenye akili timamu atakaa asikilize mbowe, atabaki na NGO's yake na wanae na hao wajumbe wake yani hao wajumbe ilitakiwa wakitoka hapo mnawapiga bakora nyingi sana pumbafu zao hawasikii sauti ya mtaa inataka nini wanaangalia matumbo yao pumbafu kabisa hao wajumbe ndio wakudeal nao inatakiwa wachezee kichapo takatifu akili ziwakae sawa
 
Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
Mara baada ya zoezi la kupiga kura kumalizika, kura zote zinahakikiwa na kuthibitishwa kwanza kabla ya kuanza kuhesabiwa.

Ni muhimu sana kua wastahimilivu. Kumbuka mambo haya yanafanyika manually licha ya wagombea uongozi na wapiga kura kua wachache sana, chini ya elfu1.

Next time, digital voting inaweza kuhusika kirahisi mambo haya.

Infact,
kura nyingi haziko upande wa unaemtarajia gentleman 🐒
 
Mtanzania yupi mwenye akili timamu atakaa asikilize mbowe, atabaki na NGO's yake na wanae na hao wajumbe wake yani hao wajumbe ilitakiwa wakitoka hapo mnawapiga bakora nyingi sana pumbafu zao hawasikii sauti ya mtaa inataka nini wanaangalia matumbo yao pumbafu kabisa hao wajumbe ndio wakudeal nao inatakiwa wachezee kichapo takatifu akili ziwakae sawa
Duh! Kumbe hata hao wagombea hawana akili timamu maana Mbowe amekuwa mwenyekiti wao kwa muda mrefu.
 
Mtanzania yupi mwenye akili timamu atakaa asikilize mbowe, atabaki na NGO's yake na wanae na hao wajumbe wake yani hao wajumbe ilitakiwa wakitoka hapo mnawapiga bakora nyingi sana pumbafu zao hawasikii sauti ya mtaa inataka nini wanaangalia matumbo yao pumbafu kabisa hao wajumbe ndio wakudeal nao inatakiwa wachezee kichapo takatifu akili ziwakae sawa
Mbowe ndiye kafanya CDM kuwa chama kikuu cha upinzani nchini sijui wewe umeamka na ugimbi tayari au una matatizo gani akilini?
 
Kama uchaguzi ni huru na haki. Ikitokea FAM kashinda itabidi tunategemea qafuasi wote wa TAL wamuunge mkono kwakuwa walitaka ballots na wamepewa. Wakigomea itabid waanze na marekebishobya katiba yao kabla ya kelele ya katiba ya nchi.
Demokrasia ya chama chao inawatia shaka then waje watikie shaka demokrasia ya nchi?????.
 
Mbowe ndiye kafanya CDM kuwa chama kikuu cha upinzani nchini sijui wewe umeamka na ugimbi tayari au una matatizo gani akilini?
Acha ushabiki. Kila mwanachama kafanya kaz yake, sugu,zito,lema, dogo wa arusha,msigwa, mdee. Many young boys and girls did their work. Kabla vijana hao kuingia nchadema, chadema haikuwa chochote. Tumeshuhudia transition and transformation ya CHADEMA tangu kina BOB NYANGA. Mbowe ni ni muhuni wa siasa kazi yake kuhujumu watu wenye uwezo.Alifanya kwa ZITO, KUTILA nk.
Muda wa Uhuni umeisha. Akishinda kitakajili atajuta.
 
Back
Top Bottom