1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Samia hawezi kumshinda Lisu .Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
Lisu akishinda vijana wengi watapiga kura uchaguzi ujao jambo ambalo litaifyatua CCM