Kuna nini mpaka sasa hatuna rasmi Matokeo ya mwisho kutoka Mlimani City?

Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
Samia hawezi kumshinda Lisu .
Lisu akishinda vijana wengi watapiga kura uchaguzi ujao jambo ambalo litaifyatua CCM
 
Ramli
 
Mbowe ndiye kafanya CDM kuwa chama kikuu cha upinzani nchini sijui wewe umeamka na ugimbi tayari au una matatizo gani akilini?
Acha mawazo mgando waliokifanya chama kiwe kikubwa ni sisi wanainchi na ndio ambao leo tumesema hatumtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…