Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Nakuombea ukawe tajiri mwenye nguvu za kiume Ili uchakate vzr
 
Kulingana na tafiti na takwimu za majarida ya afya kama Cleveland clinic, Healthline, Men's Health n.k

95% wanaume, 78% chini ya miaka30 hupiga punyeto au matendo yanayoendana na ngono-binafsi(self-sex).
 
Mkuu shukrani sana una hekima utafika mbali JF inahitaji watu kama wewe.
~MAZOEZI
~MUZIKI(usio na vionjo vya ngono)
~KUWA BIZE NA KAZI
~MAJUKUMU(Mf. familia,madeni,ada,kodink)
Ila jana ndio nimeelewa maana ya HIP POP
 
Sio salama lengo la sex kiroho ni hatar zaidi ya unavozania...
Jarb kufanya hiyo ishu usiku sa tisa au sa nane na nusu mkiwa mmewasha mshumaa huku shuka yenu iwe nyeupe tuu
Curiously
Nini kitatokea mkuu?
 
Cha kawaida mkuu ila hakikiasha ujioni kwa macho mkuu
ok! Nitafanya hivyo after knowing nin kita happen. I will asking other knowledgeable hope nitajua zaidi, maybe i will come back with answers for those seeking.
 
ok! Nitafanya hivyo after knowing nin kita happen. I will asking other knowledgeable hope nitajua zaidi, maybe i will come back with answers for those seeking.
Kua makini ni mchezo wa kucheza na roho chafu an kama haujawa msafi zinakuingia
 
Kua makini ni mchezo wa kucheza na roho chafu an kama haujawa msafi zinakuingia
O! gotcha. Sasa kama nitaejaculate nitakua nimefeli maana frequency zitashuka mkuu?
Hapo kucheza na roho ndio kwenye clue
 
Things are there made to be used.... Ninyi mnaanza kutafuta mbadala wa kutovitumia.... Ndiyo maana majanga hatayaishi kwenye hii Dunia.....πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Things are there made to be used.... Ninyi mnaanza kutafuta mbadala wa kutovitumia.... Ndiyo maana majanga hatayaishi kwenye hii Dunia.....πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ™Œ
Hunapaswa kutumia vitu kwa hekima kama wafalme na sio kwa ulafi kama watumwa. Kwa walio enda jando na unyago wanajua hizo ni silaha za kukuangamiza mwenyewe.

Ndio pale utakuta mwenye ujuzi hutumia gharama kuweza kuwa na mahusiano na binti mrembo zaidi ili hamvune nguvu kisha anaachana naye ndio pale unasema binti mzuri lakini hadumu na mume au hana maisha mazuri. Kumbe watu washamvuna kitambo hana nguvu/nyota tena.
 
Funga! (Fast)

At least mara 2 kwa wiki.

Shiriki Ibada za pamoja na ibada binafsi.

Fanya mazoezi kiasi.

Fanya kazi kwa bidii na kwa akili zaidi.

Soma vitabu.

Ukiweza kumlisha, kumvisha, kuwa na gheto la kulala na nguvu za kujamiiana unazo, oa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…