Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Haha shibela bana ngono tena ni hitaji la akili sio mwili! sikupingi ila ningependa unieleweshe kiaje
Hakuna ngono inafanyika Bila muhusika kuielekeza Akili yake huko,ndio maana kama kuna vitu vinaisumbua Akili huwezi kufanya ngono kikamilifu,hii ni kwa wote ke & me
Ingekuwa ni hitaji la mwili ngono ingeweza kufanyika katika mazingira yote pasipo utulivu wa akili!
 
Even me nikiwa stressed aisee naweza kula ata manzi tatu na still night nikashindwa kulala vzr kisa babu juma kasimama hataki kulala uhitaji ni mkubwa
 
anhaa hapo nimekusoma kidogo we ni sexologist kama Dr. Nagoski πŸ™‚
 
madini tupuπŸ‘Ώ ukifocus kwenye vitu vingine vinavohitaji akili zaidi sexual drive inapotea
 
Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
Stress
 
Jaman tuwe wa kweli,labda mtu uwe mgonjwa. Ila mtu mwenye afya yake kabisa? Sex ni constant. Wala haina mbadala, yan hata nyeto sio mbadala wa sex..
Mimi hata niwe na madeni gani au matatizo makubwa kias gani, aahh sex napenda bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Tajiri tajiri ...

Ila dogo siku hizi unaandika pwenti kinoma
 
Jaman tuwe wa kweli,labda mtu uwe mgonjwa. Ila mtu mwenye afya yake kabisa? Sex ni constant. Wala haina mbadala, yan hata nyeto sio mbadala wa sex..
Mimi hata niwe na madeni gani au matatizo makubwa kias gani, aahh sex napenda bwana.
haha kwamba kunyanduana ni constant aya bhana, ila nashangaa mapadre,masister, na watawa wanaishije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…