Picha ya huo ubonge mkuu,Tuanzie hapo kwanza!Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Hapo usiku akinywa chai si tayari atakuwa ametumia sukari!!Jambo la kwanza nikuacha matumizi ya sukar na vitu vyenye sukari
Pili asubuhi kunywa mchanganyiko wa tangawizi mdalasini limao na binzar ya manjano
Usiku chia
Kwaa hio mkuu hio Chia ndio ipoje na naipata wapi? Maana ni neno ngeni kwangu inasaidiaje kupunguza mwili, kuhusu sukari sio mpenzi sana ingawa natumia kidogo tu, tangawizi nilikua natumia ila tatizo nilitumia tangawizi iliyochemshwa naungua ulimi na fizi kwa hio najikuta naacha, mdalasini nilikua natumia na asali ingawa siku hizi nimepunguza, niseme ukweli limao naa binza manjano siziwezi ladha yake inanishinda, hivi hakuna utaratibu mwingine maana gym napiga sana ila body lipo palepale halipungui wala niniJambo la kwanza nikuacha matumizi ya sukar na vitu vyenye sukari
Pili asubuhi kunywa mchanganyiko wa tangawizi mdalasini limao na binzar ya manjano
Usiku chia
Sijasema chai mkuu nimesema chia unazijua lakini soma vizuriHapo usiku akinywa chai si tayari atakuwa ametumia sukari!!
Asante sana mkuu ila tizi nafanya sana mimi1. Punguza Ulaji wa Wanga ulio kithiri
2. Mazoezi iwe ni passion yako
inaweza kuchukua miaka sio chini ya 3 Kukaa sawa, But you can do it.
Kila mtu kwenye maisha anavitu vya kupambana navvyo, Wengine unene, Wengine Vipara, Wengine magonjwa ya Figo, n.k
So just accept the challege and GO for it, and Eventually You can Beat it 👍
Hatimae nimepata neno moja linalowafaa watu wanene 😂Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala,
Kula unyumba mara tatu kwa siku kwa miezi mitatu mfulukizo utakuja kunishukuruKwaa hio mkuu hio Chia ndio ipoje na naipata wapi? Maana ni neno ngeni kwangu inasaidiaje kupunguza mwili, kuhusu sukari sio mpenzi sana ingawa natumia kidogo tu, tangawizi nilikua natumia ila tatizo nilitumia tangawizi iliyochemshwa naungua ulimi na fizi kwa hio najikuta naacha, mdalasini nilikua natumia na asali ingawa siku hizi nimepunguza, niseme ukweli limao naa binza manjano siziwezi ladha yake inanishinda, hivi hakuna utaratibu mwingine maana gym napiga sana ila body lipo palepale halipungui wala nini