Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

Punguza ulaji wako kwa 50%, haitafika mwezo hujaona mabadiliko. Nimefanya hivyo mpaka sasa nimepunguza 12kg. Muhimu tu uwe committed. Na unapokiuka Leo, hakikisha kwsho unalipia. Yaani kama Leo umepiga full 80%, lazima utafute siku ya kula 20% tu.

Usikamie misosi hata iwe mitamu vipi.
 
Bonge kama bonge. Lol.

Kuna baba mmoja niliwahi kumuona amekaa kwenye kiti ile kutaka kuamka alijivuta zaidi ya mara kumi baadae ndo akainuka kuanzia pale nikajikuta tu nikiwaona vibonge huwa nawaonea huruma mbaya.

Poleni jamani mana mnateseka hasaa.
Asante sana mkuu kua bonge ni changamoto kweli kutembea kukimbia ni changamoto pia
 
Punguza ulaji wako kwa 50%, haitafika mwezo hujaona mabadiliko. Nimefanya hivyo mpaka sasa nimepunguza 12kg. Muhimu tu uwe committed. Na unapokiuka Leo, hakikisha kwsho unalipia. Yaani kama Leo umepiga full 80%, lazima utafute siku ya kula 20% tu.

Usikamie misosi hata iwe mitamu vipi.
Daah mkuu huu ushauri mzuri ila hapo kwenye misosi ndio mtihani ila nitajitahidi kufanya hivyo
 
Pole sana Mkuu.

Huwa saa ingine mnatuona kama hatuli vizuri lakini kiukweli mwili mwembamba una raha yake. 😅
Kweli mkuu kua na mwili mwembamba una faida pia ndio maana nataka nipungue mwili
 
Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.

Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.

Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.

Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Nenda bank kopa pesa weka nyumb rihani utakonda tuuu
 
Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.

Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.

Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.

Nasubiria majibu yenu hapa chini.
BWANA DIDAS MASAburi alikufa kwasababu ya unene uliopitiliza.
 
Back
Top Bottom