min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Gonga pombe kali wiki mbili tu Dr am 4 real PhD
Mie nilianza na evening walk, you know 😂 Then nikapiga kwa miezi kama sita hivi, You Know 🙏🏾Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Mimi ntakua nakula vizuri pia sinywi over drinking..maana nikinywa ndio nanenepa.Gonga pombe kali wiki mbili tu Dr am 4 real PhD
Sijawai kupenda kua mwembamba..humwili wa ubonge na rangi yanguMie nilianza na evening walk, you know 😂 Then nikapiga kwa miezi kama sita hivi, You Know 🙏🏾
Nilivyopungua uzito, nikaanza kucheza mpira, You Know 😂
Nikapungua tena kama 10kg, You Know 🙏🏾
Saivi naendesha baiskeli ya mazoezi na kucheza mpira! You Know, nimekuwa bonge la slim babaa'ke 🙏🏾
Dah😁😁Sijawai kupenda kua mwembamba..humwili wa ubonge na rangi yangu
Hufanya hata nikiingia kuulizia Bei za vitu natajiwa Bei juuuu☺️
Sikuwai kupenda kua kimbaumbau unadharaulika Sanaa Bora uwe bonge na NYAMA NYAMA kiasi.
Ukiwa mwembamba Sana ni shida Kuna kipindi nilikua siwezi hata kufunga kwamba za viatu🤣 kitambi Ila kwa Sasa nimekua na MWILI wa kawaida kitambi kimepungua kimebakia Cha kuchomekea na kuvalia suti.Dah😁😁
Dah mimi ni ngumu sna kuwa mnene 😁Ukiwa mwembamba Sana ni shida Kuna kipindi nilikua siwezi hata kufunga kwamba za viatu🤣 kitambi Ila kwa Sasa nimekua na MWILI wa kawaida kitambi kimepungua kimebakia Cha kuchomekea na kuvalia suti.
Binafsi sijawai kupenda kua mwembamba abadani..maana nilikuaga mwembamba Sana Sana na watu huwa wakiniona wanashangaaga nimekua bongee
Sizungumzii unene..Ila at least ni nyama ziwepo kiasi Ila sio kua mwembamba Sanaa..Dah mimi ni ngumu sna kuwa mnene 😁
Hahaha nikiacha nyama tu naona nakua legelege inabidi nipige tizi zikaze mkuuSizungumzii unene..Ila at least ni nyama ziwepo kiasi Ila sio kua mwembamba Sanaa..
Mimi sikuupenda wembamba wangu kipindi kile
Mkuu,Hahaha nikiacha nyama tu naona nakua legelege inabidi nipige tizi zikaze mkuu
Mno bro nimetoka job nimechoka ,natafuta stata ya kulala😁Mkuu,
Bila shaka hapo pembeni lazima uwe na kinywaji changamshi bila shaka.
I've a solution for your problemNaomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Kwa kiswahili ndo kusemaje mkuu😀So sorry Son...😑
Huwa haufungi?? Kama unaweza funga labda itakusaidia......Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Vibonge wengi wanafeli kwenda gym kunyanyua vyumaKunywa maji ya vugu vugu asubuhi baada ya hapo ule kidogo mida ya mchana najio kula kitu chepesi tu. Gym ya kupunguza mwili siyo kunyanyua vyuma,Fanya kukimbia na kuruka kamba
Mimi nakula kawaida sana mkuu ila siwezi kukaa bila kula hofu yangu ni hio yaan nikishikwa na njaa lazima nile na njaa inashika muda wowote