Acha kufakamia misosi ovyo.Mimi tizi napiga sana mkuu ila sipungui
Shida ndiyo inaanzia hapo........Kama issue ni njaa basi kula vyakula ambayo havina calories nyingi kula matango ,maepo ili kupunguza njaa.Sasa bila misosi misosi tuashije mkuu mimi nikikaa masaa mawili tu wadudu wa njaa wanaanza kuimba tumboni kwa hio lazima nile, sasa nitafanyaje?
Kopa anzisha ujenzi nyumba iishie kwenye madirisha halafu hela ikateNaomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Mkuu usiangalie ladha angalia kupungua hivyo nilivyokutajia vichanganye kwenye maji ya moto subiri vipoe ndio unyweKwaa hio mkuu hio Chia ndio ipoje na naipata wapi? Maana ni neno ngeni kwangu inasaidiaje kupunguza mwili, kuhusu sukari sio mpenzi sana ingawa natumia kidogo tu, tangawizi nilikua natumia ila tatizo nilitumia tangawizi iliyochemshwa naungua ulimi na fizi kwa hio najikuta naacha, mdalasini nilikua natumia na asali ingawa siku hizi nimepunguza, niseme ukweli limao naa binza manjano siziwezi ladha yake inanishinda, hivi hakuna utaratibu mwingine maana gym napiga sana ila body lipo palepale halipungui wala nini
na we unauzito uliokithiri mkuuNilifikiri umekosea kuandika ukitaka kumaanisha chai. Kwa kweli Chia sizifahamu ndio nimesikia hili neno leo, hata muuliza swali anaweza kuwa hazifahamu, tueleweshe mkuu, ikiwezekana kwa picha kabisa
Hapa sasa nimekuelewa mkuu naweza nikachanganya hata na machenza si inakubarika tu vizuri au?Mkuu usiangalie ladha angalia kupungua hivyo nilivyokutajia vichanganye kwenye maji ya moto subiri vipoe ndio unywe
Chia seeds zinapatikana kkoo
Unaziloweka kama kijiko 1 kwenye maji Unachanganya na smooth yoyote ya tunda unakunywa
na we unauzito uliokithiri mkuu
Google chia seeds itakuletea kila kitu
Usipopungua kopa tenaHapo ndio nitapungua uzito wewe ulishafanya hivyo?
Mimi nakula kawaida sana mkuu ila siwezi kukaa bila kula hofu yangu ni hio yaan nikishikwa na njaa lazima nile na njaa inashika muda wowoteKunywa maji ya vugu vugu asubuhi baada ya hapo ule kidogo mida ya mchana najio kula kitu chepesi tu.
Jitahidi kufanya kazi kupitiliza na ule mda wakula nao pitiliza au panga.Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Chenza au chungwa ila limao lisikosekaneHapa sasa nimekuelewa mkuu naweza nikachanganya hata na machenza si inakubarika tu vizuri au?