Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

1. Punguza Ulaji wa Wanga ulio kithiri
2. Mazoezi iwe ni passion yako

inaweza kuchukua miaka sio chini ya 3 Kukaa sawa, But you can do it.

Kila mtu kwenye maisha anavitu vya kupambana navvyo, Wengine unene, Wengine Vipara, Wengine magonjwa ya Figo, n.k

So just accept the challege and GO for it, and Eventually You can Beat it 👍
Ushauri mzuri sana huu, ale michemsho ya chukuchuku sana na mazoezi.
 
picha yako niliitunza
FB_IMG_1731601295370.jpg
 
Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.

Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.

Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.

Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Mkuu pole sana; mimi sio accredited Dietician lakini kuna rafiki yangu nilimsaidia akapunguza uzito kutoka 105kg hadi 76kg ndani ya miezi 9. Ilikua ni mpangalio wa chakula tu; hakuna kingine.
Sijajua uko wapi, kama una uwezo mkuu fanya vitu vifuatavyo.
1. Epuka kula kula ( yaani unajikuta una kula bila mpangilio) uwe una kula kwa mpangilio Chai, Lunch na dinner.
2. Ikiwezekana, usiku kula matunda tu na mboga za majani, achana na wanga hata kidogo (yaani, ugali wa sembe, ndizi, na vyakula vya kukaanga, chips nk)
3. Achana kunywa Soda, juisi ya kusindika au ya kutengeneza iliyowekwa sukari, punguza pombe pia km huwa unakunywa.
4. Kula mapema usiku, ila kula matunda zaidi na usile vyakula roasted.

Kuwa na nidham ya chakula, utaambiwa fanya mazoezi but hayasaidii km mfumo wako wa ulaji sio mzuri.

Kingine, kupunguza uzito kwa asili inachukua muda, angalau kuanzia miezi mitatu kwenda mbele; epuka kumbuka uzito kwa ghafla si salama pia kwako.

Kwa maelezo zaidi inaweza uka ni PM mkuu but I do not charge anything isipokua story za hapa na pale tu hadi una achieve uzito wako.
 
Mikopo kausha damu na stress ama jitengenezee njenje, (uncertainty scenarios)
 
Jiunge nami kwenye kujiwekea ahadi lukuki za kuacha kula wanga lakini sitekelezi..
Hapa nakula chocolate mchana nimepiga zangu kitimoto. Ila usiku nitakula mtindi na apple.
Pole ni kazi kubwa kupunguza uzito hasa ukiingia; vitu ulivyovitaja hapo. Nyama haiongezi uzito, ipa hiyo chocolate na mtindi(if processed huwa ndio changamoto?)
 
Naomba hio picha ya chia mkuu nione ikiwezekana unielekezee na duka lake kabisa, pia kuna dawa ya kupunguza kujamba mshuzi?
Kama uko Dar chia zipo maduka ya wahindi Kitumbini hata Kariakoo. Kuhusu kujamba kwa mtu mnene huwezi kukwepa. Nashangaa Anastasia21 anacheka wakati kwenye uzi fulani humu leo kasema yeye ni kibonge.
 
Mkuu pole sana; mimi sio accredited Dietician lakini kuna rafiki yangu nilimsaidia akapunguza uzito kutoka 105kg hadi 76kg ndani ya miezi 9. Ilikua ni mpangalio wa chakula tu; hakuna kingine.
Sijajua uko wapi, kama una uwezo mkuu fanya vitu vifuatavyo.
1. Epuka kula kula ( yaani unajikuta una kula bila mpangilio) uwe una kula kwa mpangilio Chai, Lunch na dinner.
2. Ikiwezekana, usiku kula matunda tu na mboga za majani, achana na wanga hata kidogo (yaani, ugali wa sembe, ndizi, na vyakula vya kukaanga, chips nk)
3. Achana kunywa Soda, juisi ya kusindika au ya kutengeneza iliyowekwa sukari, punguza pombe pia km huwa unakunywa.
4. Kula mapema usiku, ila kula matunda zaidi na usile vyakula roasted.

Kuwa na nidham ya chakula, utaambiwa fanya mazoezi but hayasaidii km mfumo wako wa ulaji sio mzuri.

Kingine, kupunguza uzito kwa asili inachukua muda, angalau kuanzia miezi mitatu kwenda mbele; epuka kumbuka uzito kwa ghafla si salama pia kwako.

Kwa maelezo zaidi inaweza uka ni PM mkuu but I do not charge anything isipokua story za hapa na pale tu hadi una achieve uzito wako.
Ale matunda tu hasa jioni
 
Watoto wa kiume wa kihindi na kiarabu ndio naonaga wengi unakuta ni mabonge, marefu, mtumbo huo alooo.

Pole mkuu, ubonge sio mchongo. Anza mazoez na kucontrol kula yako(mabonge wengi mnakula hovyo kama mbuzi katoliki vile, hamuachi kitu)
 
Mkuu pole sana; mimi sio accredited Dietician lakini kuna rafiki yangu nilimsaidia akapunguza uzito kutoka 105kg hadi 76kg ndani ya miezi 9. Ilikua ni mpangalio wa chakula tu; hakuna kingine.
Sijajua uko wapi, kama una uwezo mkuu fanya vitu vifuatavyo.
1. Epuka kula kula ( yaani unajikuta una kula bila mpangilio) uwe una kula kwa mpangilio Chai, Lunch na dinner.
2. Ikiwezekana, usiku kula matunda tu na mboga za majani, achana na wanga hata kidogo (yaani, ugali wa sembe, ndizi, na vyakula vya kukaanga, chips nk)
3. Achana kunywa Soda, juisi ya kusindika au ya kutengeneza iliyowekwa sukari, punguza pombe pia km huwa unakunywa.
4. Kula mapema usiku, ila kula matunda zaidi na usile vyakula roasted.

Kuwa na nidham ya chakula, utaambiwa fanya mazoezi but hayasaidii km mfumo wako wa ulaji sio mzuri.

Kingine, kupunguza uzito kwa asili inachukua muda, angalau kuanzia miezi mitatu kwenda mbele; epuka kumbuka uzito kwa ghafla si salama pia kwako.

Kwa maelezo zaidi inaweza uka ni PM mkuu but I do not charge anything isipokua story za hapa na pale tu hadi una achieve uzito wako.
Asante sana mkuu nitazingatia haya uliyonielekeza
 
Mimi ininitesa sana, ilifika point Nina 117kg na kimoja hakiendani na na huu uzito, Nilikuwa na tatizo la wingi wa damu, Dr akanambia huu uzito hauenda ni na urefu yyan ilikuwa umefika kwenye RedZone,

Nashukuru Mungu, nilianza diet asbh sili kitu zaidi ya maji ya moto yenye ndimu, mchana the same usiku muda mwingi ni matunda nikila chakula basi ni kidogo sana, asubuhi nataka sa kumi na moja asbh nipo barabaran 13 km kuzikata ilikuwa kawaida sana nikisaidiwa na adidas running kuzikata km, katatumbo, ups na downs za kutosha ndani ya miez 6 aisee watu walijua naumwa nilikuja kupima nipo na kg88. Now nimesimama maana naona Matokeo had najiogopa Tena.
N:B kama huwezi kujitoa kwa haya huwezi fanikisha asije akakudanganya Mtu Kuna madawa ya kupunguza mwili
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom