Asante sana mkuu story yako imeenipa hamasa na mimi kuanza kufanya hivyo ila inataka moyo pale unapofanya kila kitu lakini badala upungue unaona unaongezeka hapo inakata moyo sana yaanMimi ininitesa sana, ilifika point Nina 117kg na kimoja hakiendani na na huu uzito, Nilikuwa na tatizo la wingi wa damu, Dr akanambia huu uzito hauenda ni na urefu yyan ilikuwa umefika kwenye RedZone,
Nashukuru Mungu, nilianza diet asbh sili kitu zaidi ya maji ya moto yenye ndimu, mchana the same usiku muda mwingi ni matunda nikila chakula basi ni kidogo sana, asubuhi nataka sa kumi na moja asbh nipo barabaran 13 km kuzikata ilikuwa kawaida sana nikisaidiwa na adidas running kuzikata km, katatumbo, ups na downs za kutosha ndani ya miez 6 aisee watu walijua naumwa nilikuja kupima nipo na kg88. Now nimesimama maana naona Matokeo had najiogopa Tena.
N:B kama huwezi kujitoa kwa haya huwezi fanikisha asije akakudanganya Mtu Kuna madawa ya kupunguza mwili
Nawasilisha
Picha yangu uliitoa wapi mkuu?picha yako niliitunzaView attachment 3294978
ShambaNaomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Kwani Huwa kuna shamba gani?Shamba gani?
Kula mwisho saa sita mchana kwa miez sita mfululuizo usile baada ya huo mda mpaka kesho yakeNaomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Utakuja kunishukuru mkuu.Hii mbinu ilileta manuufa kwako pia mkuu?
Kumbe Kuna shamba gani tofauti na LA kulima?Shamba la kulima au wewe unazungumzia Shamba lipi?
Ndo mambo ayoKwa hio mimi na wewe tukiwa pamoja tunafaa maana tunakua tunavalishana raba, hapo si sawa?
Hahaaaaaa mi hadi nilimeza vidonge vya Max Slim ila wapi? Sasa nakula tu potelea pote kikubwa unene hauniletei shida yoyote.Kwaa hio mkuu hio Chia ndio ipoje na naipata wapi? Maana ni neno ngeni kwangu inasaidiaje kupunguza mwili, kuhusu sukari sio mpenzi sana ingawa natumia kidogo tu, tangawizi nilikua natumia ila tatizo nilitumia tangawizi iliyochemshwa naungua ulimi na fizi kwa hio najikuta naacha, mdalasini nilikua natumia na asali ingawa siku hizi nimepunguza, niseme ukweli limao naa binza manjano siziwezi ladha yake inanishinda, hivi hakuna utaratibu mwingine maana gym napiga sana ila body lipo palepale halipungui wala nini