Nimewashuhudia wengi wakifanikiwa kupitia hukoWewe ulijaribu ukafanikiwa?
Asante sana mkuu kua bonge ni changamoto kweli kutembea kukimbia ni changamoto piaBonge kama bonge. Lol.
Kuna baba mmoja niliwahi kumuona amekaa kwenye kiti ile kutaka kuamka alijivuta zaidi ya mara kumi baadae ndo akainuka kuanzia pale nikajikuta tu nikiwaona vibonge huwa nawaonea huruma mbaya.
Poleni jamani mana mnateseka hasaa.
Daah mkuu huu ushauri mzuri ila hapo kwenye misosi ndio mtihani ila nitajitahidi kufanya hivyoPunguza ulaji wako kwa 50%, haitafika mwezo hujaona mabadiliko. Nimefanya hivyo mpaka sasa nimepunguza 12kg. Muhimu tu uwe committed. Na unapokiuka Leo, hakikisha kwsho unalipia. Yaani kama Leo umepiga full 80%, lazima utafute siku ya kula 20% tu.
Usikamie misosi hata iwe mitamu vipi.
Hekaheka za kuwakwepa OYA zimewapunguzaYaan walikopa wakiwa mabonge baada ya kukopa wakapungua uzito?
Pole sana Mkuu.Asante sana mkuu kua bonge ni changamoto kweli kutembea kukimbia ni changamoto pia
Nenda bank kopa pesa weka nyumb rihani utakonda tuuuNaomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
BWANA DIDAS MASAburi alikufa kwasababu ya unene uliopitiliza.Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.