KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wanakula pakubwa wanatuonea raia ufisadi bado upo wanatupiga hongo tu et makato yatapungua 😠
 
Cha muhimu umelipa Kodi mengine hayana msingi.
 
Cha muhimu umelipa Kodi mengine hayana msingi.
Serikali inayotoza kodi halali hakika hata ikija kwetu kutuomba tuichangie tunafanya hivyo kwa moyo mweupee.

Lakini mnatukata kodi huku kinyemela mnaweka makato au tozo za kutuumiza ili kulipia ufisadi wenu ni dhahiri hamna tofauti na wale wanaovunja benki na kuiba.

Halafu kwa kiburi unasema hizi hoja ni mengine yasiyo na msingi.... YANA MWISHO HAYA
 
Tungekua karibu ningekuzabua bao la uso 😑
 
Ufisadi upi unaolipiwa ? Hakuna anaetoa Kodi kihalali hapa Duniani wewe ndio wa kwanza πŸ˜†πŸ˜†

Hata Trump na Biden Wana kesi za kukwepa Kodi.

Matumizi ya Kodi

View: https://www.instagram.com/p/DNVD_gTsmb-/?igsh=MTE0aWF4bW55dTV6Mw==
 
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....


Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?

Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Tumia akili makato ni ya kampuni, TRA mali yao hapo ni VAT tu ambayo ni 329 kwenye muamala wako
 
Hio ndogo ushawahi gusa miamala bank kwa bank? Au bank kwenda mtandao wa simu?
Jana nimetuma 150,000 kutoka mtandao wa simu kwenda bank nimekatwa 3,500...binafsi nimeona 3,500 sio makato makubwa

Leo nimetoa 250,000 kwa mtandao wa simu nimekatwa 5,921 nayo naona ni very reasonable πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…