Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

Yeah, kuna kila sababu na haki kwa watu kulinda watu wao kutokana na wasiojulikana na wakijulikana wana mawaa shurti kuwaweka mbali na watu wako wa karibu.

Kujichanganya na kama mbalimbali kumeharibu na kuvuruga mipango ya wengi ya maendeleo.

Unatafutiwa mke/mume unachaguliwa ujuzi wa kuwa nao kujkendesha kimaisha, unaandaliwa kujitegemea na kuinua wengine .......
Unatafutiwa mke/mume unachaguliwa ujuzi wa kuwa nao kujkendesha kimaisha, unaandaliwa kujitegemea na kuinua wengine .......[emoji817][emoji818][emoji1548]
 
IMG_5873.jpg

Hasa pepo la NGONO
 
Sio pepo sema kuna dhambi zikiishaingia kwa wazazi hutembea vizazi na vizazi..
.
Unajua ukisema pepo kimtazamo flan unaweza kusema pepo linamuaa tu kuja kwenye mafilia flani na kuwaonea wanafamilia lkn kiuhalisia wazazi hutenda dhambi basi hiyo dhambi hujenga mizizi na kukaa ktk kizazi hata kizazi
 
So Unamshauri Nini kijana amabaye bado hajaoa na hayupo kwa ndoa this moment Unamshauri Nini ili Asipate balaha maana nimefatilia mjadala naona Uzinzi umeutaja Kama sababu moja wapo.
Hiki ndicho walichokuwa wanakifanya mababu zetu zamani.. Unaweza kukataliwa ndoa kwasababu ya background ya familia
 
So Unamshauri Nini kijana amabaye bado hajaoa na hayupo kwa ndoa this moment Unamshauri Nini ili Asipate balaha maana nimefatilia mjadala naona Uzinzi umeutaja Kama sababu moja wapo.
Unapopata mchumba usiharakie ndoa chukua muda wa kutosha kuichunguza familia yake mpaka huko kijijini.. Maana unaweza kuikuta hapa mjini mambo safi kumbe huko kijijini kwenye mashina na mizizi hakufai
Na ukifanikiwa kupata mwenza sahihi.. JICHUNGE NA NGONO zembe.. Ngono imeharibu mengi

Kingine ni mahusiano ya kifamilia, ndugu na ukoo.. Jihadhari mno na mafarakano.. Kuna majanga huanzia huko.. Upendo na kusamehe huokoa mengi, visasi na mifarakano huzalisha mengi
 
Back
Top Bottom