Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

Huu uzi ni ukweli kwa asimila 100, hii kitu ipo kabisa. Kuna familia naijua ya watoto 8 hakuna mwenye elimu iliovuka form 4 na hakuna alieoa au kuolewa ila wote uterezi wameuchezea wana watoto .
 
Sasa hapo ndio unatafuta dilution... Hasa kama positive energy ya upande wa pili ikiwa Strong umepona
Hapo kwenye dilution sasa ndo unatoka njiani.

Ni hivi.

Kila mtoto anapoingia duniani, mtoto ambaye ni pure human hajachanganya uzao na mapepo, hatma ya maisha yake Huwa Inajulikana, NDOA pia Huwa Inajulikana. Tena NDOA yenyewe ni ya mke mmoja na mme mmoja.

Wapo watakaohoji iweje wanawake wawe wengi Duniani kuliko wanaume, kwamba hao waliozidi wataolewa na nani?

Jibu ni Rahisi. Uzao wa WANADAMU wasiochanganya uzao na mapepo ni Wachache kuliko uzao wa mapepo ktk mwili wa mwanadamu.

Na wanawake nusu mtu nusu Pepo ndo wengi kuliko wanaume nusu mtu nusu Pepo.

Waliookoka Wana solution ya kudumu.

Waliookoka tuna uwezo wa kujua nani Hasa ni ubavu wa mtu mume au mtu mke kupitia maombi.

Binti mmoja aliyeokoka alikuwa katika maombi, alimuuliza Mungu amuonyeshe Mume wake aliyeumbiwa Yuko wapi na alijibiwa.

Jibu lilikuja katika maono, aliambiwa mumuwe yupo Mkoa mwingine tena watakuja kukutanishwa baada ya miaka miwili ijayo.

Binti yule baada ya hapo hakujisumbua kutafuta au kusikia offer za wachumba wengine Hadi mumewe alipoletwa baada ya muda huo kufika na wakaoana sawa na Neno la BWANA.

Binti mwingine alichumbiwa na mchumba tajiri, bt alipoingia ktk maombi, Mungu alimwambia huyo Si ubavu wako, na Hana maisha marefu sababu atafariki baada ya miezi kadhaa sababu ndiyo hatma yake, so what if angekubali kuolewa, angekuwa mjane baada ya muda mfupi.

Ushauri.

Kama wewe ni Mwana wa Mungu,Usitende kuuliza Kwa mganga akusomee nyota,

Waislamu wanaAMINI katika Mungu lakini wanafail Kwa kuamini Waganga pia.

Mganga ni agent wa Ufalme wa chini, kama mtu ni uzao wa kipepo,ruksa kwenda Kwa mganga kuuliza mkewe kinyota kama wanaendana.

Bt kama ni uzao Kutoka juu, Mungu ana majibu yote.

Nawasihi Binti za Mungu, msikate tamaa mnapoona ubavu wenu hatokei Kwa wakati, yaezakuwa mumeo ameenda kuoa Pepo bila kujua, hivyo UKIOMBA Mungu, Mungu ataingilia kati na kuvunja NDOA ya kipepo Ili mtu sahihi arudi kufunga NDOA ilokusudiwa tangu Kuzaliwa.

Kuoa au kuolewa na Mume au Mke ambaye Si ubavu wako ni HASARA maana Kuna uwezekano mkubwa mke au mume huyo kukutoa kwenye kusudi la Mungu na ukajatupwa jehanum.

Ameen
 
Akili nikujua kuwajibika ki matendo, ukiwa proffesor:

1. Ukanunua mwanamke - huna akilin.
2. Ukanunua ujavaa kinga - mwehu.
3. Hukuwaza mimba na mtoto pengine kuzaliwa - unakua kichaa kabisa.

Muhimu sana kuthamin damu yako.
Muhimu sana kuthamin damu yako[emoji1548][emoji1545][emoji817] NA KUILINDA kwakuwa ikienda kuharibika hata wewe hutabaki salama
 
Hizi ni imani tu mzee..kwamba kuna familia ambayo hakuna aliye zalia nyumbani bila NDOA? Kuna familia ambayo hakuna watu fukara?

Cc Robert Heriel Mtibeli tusaidie kuchanganua hili jambo
 
Hapo kwenye dilution sasa ndo unatoka njiani.



Ameen
Umeiweka vizuri sana na umeongezea na mengine ya kujenga hasa hapo kwenye kuisikiliza sauti ya Mungu.. Na hili ni lazima litambulike kwamba sauti ya Mungu ni kati ya mhitaji na Mungu wake na si kupitia kwa madalali wa kiimani waitwao mitume na manabii

La pili ni hili ulilonipinga lakini kumbuka kuna hiki kitu kinaitwa kizalia (DNA) hiki ndio kiunganishi cha familia mpaka ukoo, ni mnyororo usiokatika mpaka upate kiunganishi na kutengeneza mwingine
 
Hizi ni imani tu mzee..kwamba kuna familia ambayo hakuna aliye zalia nyumbani bila NDOA? Kuna familia ambayo hakuna watu fukara?

Cc Robert Heriel Mtibeli tusaidie kuchanganua hili jambo
Asante kwa kushiriki mjadala na karibu tuendelee kuelimishana na kufundishana mkuu BILGERT [emoji1752][emoji1545]
 
Chumvi hukata minyororo
Chumvi ni uchawi tu.

Huwezi kuoa mtu nusu mtu nusu Pepo ukakata LAANA Kwa chumvi.

Ni huzuni kubwa maana watu wengi wa Mungu wameoa watu Nusu mtu nusu Pepo.

Ukioa mke sahihi mmoja uliyepangiwa na Muumba, hutapata taabu maishani, maisha ya wengi yamevuruguka walipooa wake au kuolewa na waume wasio sahihi.

Wengine wameoa wachawi bila kujua!!!!

Dunia ni uwanja wa fujo kwakweli.
 
Asante kwa kushiriki mjadala na karibu tuendelee kuelimishana na kufundishana mkuu BILGERT [emoji1752][emoji1545]
Ahsante mkuu.. bahati nzuri wewe umesoma yoga na meditation mkuu.
Tunaamini mtu yoyote anazaliwa akiwa na pure Consciousness,baada ya muda huanza kuwa contaminated na mambo ya kidunia.

Ndipo tunapo rudi kufanya Yoga,ili kurelease karmic energy zote ambazo mtu amekuwa contaminated nazo. Ambapo unarud tena upya ukiwa pure.
 
Kuwatambua watu wa aina hiyo mzee mshana kwa mtindo huu wa maisha ya sasa si ni vigumu sana?
Kinachowaponza wengi ni tamaa na kupenda short cut.. Yaani mtu humfahamu vizuri tayari ushamparamia.. Iwe hiyo moja basi.. Unanogewa na kuendelea halafu taratibu kuna vitu unaanza kuviona ambavyo si vya kawaida sana lakini unapuuzia
Kuna ndoto unaoteshwa lakini unapuuzia
Marafiki wanakuonya lakini unadhani wanakuonea gere
Ndugu wanakuhadharisha lakini unawaona hawapendi maendeleo yako

Haya mambo huwa hayaji kwa bahati mbaya, huwa na background
 
Back
Top Bottom