Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

Kiuhalisia ni hakuna ivo vitu vinavoitwa sijui mapepo, sijui mashetani, sijui majini, sijui laana nk. Hizi ni imani zilizozojengwa kwenye familia zetu za kiafrica na kurithishana vizazi hadi vizazi kwamba hayo wanayoita mapepo ndio chanzo na matokeo ya matatizo fulani fulani yanayowakabili kwenye ngazi ya familia yao au ukoo, mwisho wa siku matatizo kama umasikini, kukosa ndoa kuoa au kuolewa, uzinzi, kukosa elimu, tabia mbovu, na kila aina ya matokeo mabaya na matatizo yote wamesukumiwa hayo yanayoitwa mapepo au kufichwa kwenye kivuli kinaitwa laana.
 
Hiyo sauti ya ndani utaisikia kadiri ya IQ. Kama uwezo wako wa kufikiria umeegemea zaidi kwenye imani za kishirikina, basi sauti utakayoisikia ndo kama ya mleta mada.

Ila kama umejizoesha kufikiria Kwa mawazi huru yenye kuleta logic, huwezi kuhusianisha changamoto zako na habari za mapepo Bali utajibidiisha kuumiza kichwa kuangalia umekosea wapi urekebishe
 
Pepo la magonjwa.
Pepo la vifo.
Pepo la kuwa mashoga na wasagaji
Pepo la kupenda ngono na vitoto vidogo
Pepo la kupenda wake za watu
Pepo la uvivu na umaskini
Pepo la wizi
 
Umeongea vyema mkuu. Ebu fikiria familia haiwajibiki vyema katika malezi borq na makuzi ya watoto hasa wa kike. Unategemea huyo mtoto atapata ndoa?

Kama familia haijitumi kupambana na Umaskini kwa kufanya kazi, unategemea wataepuka Umaskini?

Mambo mengi ni Cause and Effect,tusitafute sijui mchawi laana.
Hamuoni watu wanapiga mapesa kwa ufisadi? Na mwisho wa siku ni matajiri wa kutupwa..je wao nafasi ya laana iko wap?

Kwamba wameruhusiwa tutendewe hayo? Tena pesa walizo fisadi ni za watu maskini kabisa
 
Huhitaji kwenda kwa wachungaji mkuu,kuna procedure za kurelease karmic energy ambazo umezibeba kwa kufanya Yoga au Meditation ingawa ni very painful process.

Jifunze maana ya yoga na meditation.
Mshana Jr
Sikatai hiyo njia ya meditation bt njia hiyo ni local na primitive.

Najua yoga ni njia ya kuingia ktk spiritua realm Kwa njia isiyoruhusiwanna Mungu.

Mtu ni ROHO,vanayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Adam kabla ya kuasi pale bustanini Macho hayo ya Rohoni yalikuwa wazi, yalifungwa pale Hawa alipokula tunda.

Sisi Wana wa Mungu macho hayo ya wazi muda wote, tunayapata kupitia Roho wake MTAKATIFU mtu anapoamini.

Note: Kupitia meditation, Si Rahisi kukutana na Mungu maana umeingia kupitia njia haramu, ndomana Huwa mnashuhudia kuona mauzauza ktk hatua za mwanzo.

Mchawi hamwogopi mtu anaenda kusali daily, mchawi hamwogopi padri au cheo Cha Askofu kama Hana Mungu,

Mchawi na shetani humwogopa sana mtu ALIYEOKOKA na anenaye Kwa Lugha za Mbinguni na Malaika Kwa Roho MTAKATIFU.

Wakutanapo watu hao wawili ktk spiritual realm, mmoja aliyeokoka na mchawi au mganga hakukaliki.

Angalizo; Mnaofanya meditation, nnajiweka ktk hatari ya Kupata AJALI ya kukatila Ile KAMBA ya SILVER inayounga mwili na Roho hivyo kupoteza maisha.

Tumieni njia ya maombi, ni Rahisi sana kupata solution kupitia maono, ndoto, dhamira nk nk.
 
so sad aisee.. unaweza kuta hata kuzaa hao watoto haikuwa ridhaa yake...
 
Ni vigumu sana kujua nani ni mwenye haki na nani asiye haki isipokuwa umefunuliwa, na utaeleweka tu na wale waliokusudiwa kuelewa kwa kupitia wewe. Wengine wapo dhahiri kabisa hawafanyi iliyo haki na bado vipofu wengi wanajazana huko katika uangamivu kwa kukosa maarifa. Haya uliyoyaandika hapa ni siri sana, inajulikana zaidi na wanaokaa sirini
 
PSALM 19:14

14 May these words of my mouth and this MEDITATION of my heart be pleasing in your sight, LORD, my Rock and my Redeemer.
 
Ki vipi mkuu?
Kwenye ubongo Kuna mawimbi yanayohusika na kumbukumbu na kufikiri. Hayo mawimbi hufanya kazi taratibu sana. Kwahiyo, kama utatumia mda mrefu kuwaza kitu Fulani, hayo mawimbi yanaendelea kuchakata hizo taarifa unazowaza taratibu.

Kwahiyo unapoenda kulala, hayo mawimbi unakuta Bado yanafanya kazi, ndo maana unaota.
 
Haisadifu chochote bali ndio kisababishi cha hii post, amekufa lakini hana ndugu wala wazazi, na ameacha watoto wawili lakini hajasema chochote kuhusu baba yao/zao
mkuu samahani naomba ufungue pm kuna ishu flani ya kibinafsi
 
Ogopa sana familia yenye mchawi ama inayoamini ushirikina
 
PSALM 19:14

14 May these words of my mouth and this MEDITATION of my heart be pleasing in your sight, LORD, my Rock and my Redeemer.
Meditation inayoongelewa ktk Psalms19:14 ni kutafakari neno la Mungu.

Meditation ya Yoga ni tofauti na hiyo ktk BIBLIA, meditation ya Yoga lazima ukunje miguu ktk mkao Fulani na kuweka mikono ktk pause Fulani Ili kucomnect na Ulimwengu mwingine.

Meditation na uchawi hauna tofauti, anayemeditate anachelewa Kutoka ktk mwili sababu anafanya ktk uwazi bila kificho ukilinganisha na mchawi ambaye huingia ktk Siri.

Mungu amekataza watu kupractice uchawi au kujiconnect au Kutoka mwilini Kwa kutumia jicho la Tatu la Shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…