Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi baaasi usilie ndugu acha kulia maana umepiga ukunga hadi simu yangu imevibrate."... Malezi na makuzi bila wazazi wote wawili. Mama akiwa marehemu lakini asiyejulikana! Inauma sana!..."
HAKIKA INAUMA MNO, TENA MNO! NATAMANI KUJUA WATOTO WALIPO, NIKAWACHUKUE WAWE WANANGU WA KUWALEA.
KUna dogo alipigwa mpaka Bodboda kwenye kamari ya Karata ila haachi kabisa.Na ndio pepo new model linalotrend kwasasa!
Kwa mujibu wako ukizaliwa binadamu una pepo.Pepo la Umaskini
Pepo la mikosi
Pepo la kukosa ndoa
Pepo la kuzalia nyumbani
Pepo la ugumba
Pepo migogoro na mafarakano
Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu
Pepo la madeni na mikopo isiyolipika nknk
Haya mapepo hutembea na vizazi mpaka cha tatu ama cha nne.. Unapoona kwenye familia yako kuna dalili za mojawapo kati ya hayo fanya hima lisisambae na kuathiri wengine.
Kuna ujumbe uliotoka Twitter unaoutaarifu uma kuhusu binti mmoja aliyefariki Morogoro na mwili wake uko mochwari. Hana ndugu ama kwa lugha nyingine ndugu zake hawajulikani ni akina nani.
Kilichonifanya niandike mada hii ni marehemu wakati wa ugonjwa wake akiwa kalazwa hospital kusema hana wazazi (haikufafanuliwa kama ni marehemu ama hajawahi kuwajua ama vinginevyo)
Cha kuumiza zaidi ni kwamba naye kafa kaacha watoto wadogo wawili.. Ni wazi hao watoto wana baba zao/yao lakini hawajulikani walipo. Inaumiza mno kwamba nao watakua katika mkondo wa mama yao.. Malezi na makuzi bila wazazi wote wawili. Mama akiwa marehemu lakini asiyejulikana! Inauma sana!
Ni maisha ya namna gani yanawasubiri hawa malaika? Mama kabla ya kifo kasema hana wazazi japo kataja alikotokea! Vipi kuhusu ndugu? Vipi kuhusu baba wa watoto?
Itakuwa faraja kubwa kama nduguze watajitokeza na kumchukua marehemu wakamzike na kuwachukua watoto wakawalee. Upendo hawatapata kama wa mama lakini at least watajulikana asili yao ili nao wasijekuja kusema huko ukubwani kwamba hawana wazazi wala ndugu[emoji25]
Kuna familia zina laana ya asili
Hili naliandika kwa uchungu mno kwakuwa waathirika ni wengi na hata pengine baadhi ya wana JF ni wahanga. Maisha yanatufunza mengi yanatuonyesha mengi na yanatufunulia mengi Kuna familia zimebarikiwa, hawa maisha yao ni full shangwe mafanikio na baraka kwao si kitu cha kuuliza , kwao ishu za...www.jamiiforums.com
Kuna familia zina laana ya asili
Upungufu wa kinga za kiroho
Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali barabarani na wezi majumbani huku wachache wakiwaza kinga dhidi ya watoto nknk. Akitokea mmoja...www.jamiiforums.com
Upungufu wa kinga za kiroho
Fafanua hapa aisee yawezekana ukaponya wengi sanaChumvi hukata minyororo
Sasa MUNGU awasaidie nini tena kama wameshindwa kutumia akili aliyopatia kujitengenezea maarifa ya kujijenga vema na kuwa na maisha mazuri na sio kuwa wabangaizaji. MUNGU hakuwataka wawe hapo ni matokeo ya namna wao walikuwa wanapanga ratiba zao za kila siku.Wanapaswa kumlilia Mungu aisee
Hilo sio pepo ni upumbavu wa serikali ya kijani na raia wasiokuwa na maamuzi na serikali yao. Wewe unaona ni mapepo sababu unatazama hili tatizo la kukosa ajira kwenye individual level.
Chumvi inahusiana nini na mfumo wa maisha?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitolewa Ushauri hapo juu(uzi huu-huu)kwamba chumvi ya mawe ndo suluhisho (mwisho wa hadithi).
Pepo wanaozungumzwa kwenye biblia, au wale mapepo waliotolewa na yesu kwenye injili ni malaika wabaya, ni kundi la malaika walioasi na kufukuzwa mbinguni pamoja na shetani.Pepo ni neno linalotokana na Kiyunani daimon, ambayo inamaanisha 'fikra' au 'roho' isiyojumlishwa. Fikra au roho hii pia inaweza kueleweka kama nguvu, lakini sio kama mtu aliye na mapenzi au mhusika.
Kwa sababu ya ukweli kwamba Injili zinasimulia hadithi tofauti juu ya kutoa pepo kutendwa na Yesu, imani imeenea kuwa pepo siku zote ni nguvu hasi au za kishetani, au ni shetani mwenyewe. Walakini, haya hayapaswi kuchanganywa na mfano wa shetani.
Mapepo, Ujuzi, au Roho zinaweza kuwa nzuri au mbaya. Katika eneo la imani za kiroho, inaaminika kwamba pepo, kama nguvu isiyo ya kibinafsi, hufanya kupitia watu katika mfumo wa milki, na kwa hivyo, inaweza kukuchochea wewe na uumbaji na uharibifu, mzuri na mbaya. Sasa, katika visa vyote viwili, "pepo" lazima aachiliwe ili mtu aliye na uwezo tena atumie mapenzi na uhuru wake.
Ulipaswa Uzichome moto mkuu.Basi kwa Imani yangu nikaomba na kuvunja mahusiano yangu na wanawake niliokuwa nao hapo kabla, Kisha nikazichana na kuzitupa hizo picha zote.
Hiki kifungu umekielewa lakini?Pepo wanaozungumzwa kwenye biblia, au wale mapepo waliotolewa na yesu kwenye injili ni malaika wabaya, ni kundi la malaika walioasi na kufukuzwa mbinguni pamoja na shetani.
na wala hayo tunayoita mapepo (mashetani waasi) hawapo kwenye makundi kiivyo kwamba pepo la ngono, pepo la umasikini, pepo la maradhi, pepo la ulevi, pepo la kubeti nk. Ni wapo makundi mawili tu malaika waasi waliofukuzwa mbinguni pamoja na shetani na malaika wema waliobakia mbinguni kwa kumtii Mungu.
Muwe makini mnapotumia biblia kama reference kwani naona mapepo ulivoyacategorize hapa na jinsi unavoyaelezea ni kwa mujibu wa imani ya kiisilamu na sio biblia.
Idadi wa watu wengi hatumuelewi vizuri Mungu na dini basi tuu. Binadamu tulipewa na Mungu akili na utahi akamaliza haya mambo mengine yote ni matokeo ya matendo yetu wenyewe wala Mungu hausiki kabisa. Watu wanaharibu misitu na vyanzo vya maji afu mwisho tunapigwa na ukame na njaa. eti tunaenda kesha kanisani kumuomba Mungu alete mvua, au tunanyoshea vidole eti tuache dhambi kisa hakuna mvua serious tunashindwa kufundishana na kuwekea sheria kali za kudhibiti mazingira afu tunakuja kumpigia kelele Mungu eti hakuna mvua.Sasa MUNGU awasaidie nini tena kama wameshindwa kutumia akili aliyopatia kujitengenezea maarifa ya kujijenga vema na kuwa na maisha mazuri na sio kuwa wabangaizaji. MUNGU hakuwataka wawe hapo ni matokeo ya namna wao walikuwa wanapanga ratiba zao za kila siku.
Wewe unawakilisha kizazi kilicholishwa kasumba kuwa there is no second chance.Sasa MUNGU awasaidie nini tena kama wameshindwa kutumia akili aliyopatia kujitengenezea maarifa ya kujijenga vema na kuwa na maisha mazuri na sio kuwa wabangaizaji. MUNGU hakuwataka wawe hapo ni matokeo ya namna wao walikuwa wanapanga ratiba zao za kila siku.
Nimekuelewa mkuu.Hiki kifungu umekielewa lakini?
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Kwa sababu ya ukweli kwamba Injili zinasimulia hadithi tofauti juu ya kutoa pepo kutendwa na Yesu, imani imeenea kuwa pepo siku zote ni nguvu hasi au za kishetani, au ni shetani mwenyewe. Walakini, haya hayapaswi kuchanganywa na mfano wa shetani.
Second chance ipo sio kwa kukesha kanisani na kumuomba Mungu, second chance ipo kwa kutafuta na kufumbua vyanzo vya matatizo yanayotuandama na kupambana navyo kwa kuyarekebisha hata kwa jasho na damu. Nje ya hapo Mungu hana msaada wowote maana sio kazi yake, alisha kuoatia akili na utashi akamaliza. Yanayobakia yote yatakuwa ni matokeo ya matendo ya binadamu mwenyewe either wewe mwenyewe au mwingine. Na ndio mana hata wasio-muelewa Yesu mpaka leo wanawaza Yesu alikuja duniani kumaliza matatizo yote ya mwanadamu na kumfanya aishi bila shida wala tatizo lolote.Wewe unawakilisha kizazi kilicholishwa kasumba kuwa there is no second chance.
Full kulaani
Full kulaumu
Maisha ni tairi lilanozunguka. Tatizo ni wapi tairi linapita
Je wewe ndo unayeweka masharti ya second chance au ni aliyetuumba ndo huweka masharti?Second chance ipo sio kwa kukesha kanisani na kumuomba Mungu, second chance ipo kwa kutafuta na kufumbua vyanzo vya matatizo yanayotuandama na kupambana navyo kwa kuyarekebisha hata kwa jasho na damu. Nje ya hapo Mungu hana msaada wowote maana sio kazi yake, alisha kuoatia akili na utashi akamaliza. Yanayobakia yote yatakuwa ni matokeo ya matendo ya binadamu mwenyewe either wewe mwenyewe au mwingine. Na ndio mana hata wasio-muelewa Yesu mpaka leo wanawaza Yesu alikuja duniani kumaliza matatizo yote ya mwanadamu na kumfanya aishi bila shida wala tatizo lolote.
Nimekubali. Ukishaona historia ya mtu kiroho NI hovyo,kuachaacha wanawake,Mara alizalisha akatelekeza,kimbiaaaaNi muhimu sana kufanya vetting ya kutosha kwenye kutafuta mwenza mwenye background yenye afya kiroho kwenye familia atokayo ili kuweza ku dissolve hiyo hali.. Lakini hii ni njia mojawapo tu
Hujawahi kuona kwenye familia yenye shida tangu kwa mababu, baba anachepuka na kuzaa mtoto anayekuwa tofauti na wengine na kuja kuwa mkombozi wa familia ama akawa kimeo