Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Yani wamegeuza kibao ushewahi kuona jengo la urusi likashuka chini
 
... in short you mean ilichofanya Urusi kwa Ukraine ndicho walichofanya Hamas kwa Israel!
 
Mbona huilaani Israel kwa kupiga majengo na kuharibu makazi ya watu, lakini ikija upande wa Urusi unalaani kwelikweli. Be objective Omera
Ivi ulitegemea israel akae kimya kwa uvamizi na unyama walio ufanya hmas Lazima wavune walicho panda hamas. Kuhusu urusi lazima alaumiwe. Sababu yeye ndie alie fanya uvamizi ukrain. Na ndie alie anzisha vita
 
Alie wadanganya km yupo wamkate kate km nyama ya kuku maana kawaingiza kwenye mtumbwi wa vibwengo.Israel hawana show za vumbi la kikongo wana show za kibabe wamepiga Gaza imegeuka magofu na bado anawapelekea moto.
Wenyew wanasema ni mwanzon tu....sasa hofu yangu wakianza ndo Nini kitafuatia
 
Saudi Arabia ambapo ndio kitovu Cha uislamu Kuna mavurugu??

Wewe umeielewa sana Quran kuliko wao ???
 
Hadi Russia na Ukraine ni waislamu wanapigana

Naona umesahau
 
Yaani majitu mnashabikia ugaidi wa HAMAS
Ugaidi gani mkuu? Kupigania uhuru sio ugaidi hizo mbinu hata Mandela alitumia kumdhoofisha kaburu ilihali alijua amezidiwa silaha na majeshi!!

Huwezi ogopa kupambana kisa unaogopa majibu ya adui. Ingekua hivyo kina Nyerere wasingeweza support mataifa ya afrika kupambana na majeshi ya kikoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…