Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Pitia huo uzi upya bila mihemko utajifunza kitu
Nimeshaandika nyuzi nyingi sana juu ya Israel so hakuna ambacho sikifahamu. Hiyo ardhi ilishakua imegawanywa 50:50 wao ndio kila mwaka wanajitanua. Na nimeeleza sio Palestine tu walijitanua Misri kwa kupora Sinai na pia wakapora eneo la Golan heights kutoka Syria n.k

So kujitanua ni policy yao, ni sawa na anachofanya Putin huko Ukraine alafu eti muwalaumu Kyiv kwa kujitetea?
 
Wala sipo kwenye dini moja na Wayahudi, natumia akili kudadavua, inapaswa na wewe pia utumie ubongo utaelewa.
Akili ipi? Kushabikia uonevu na majeshi ya kigeni kukalia ardhi ya wengine? Kisiwa cha migingo kilifanya mlete vurugu na Uganda ndio sembuse wangekalia eneo kama Busia au Bungoma?
 
Myahudi ama Wayahudi ni kina nani?

Kabla ya Kristo, Makabila ya Israel walirejea
 
Yeah hata sisi tukiwa wadogo tulifundishwa nyimbo kibao za kumkashifu Idd amin, wakoloni na makaburu wa Afrika Kusini. Tulikua tunasimuliwa jinsi Idd Amin alikua anakula nyama za binadamu, alikua anaoga damu za watu na alikua anatupa walemavu ziwa Victoria.

Indoctrination iko pande zote
 
Wayahudi ni kina nani?
Hawa walikua wanatokea Judea (Southern Kingdom) na hata kiimani ni tofauti kabisa na "waisrael" waliokua wanaishi Kingdom of Israel (Makabila Kumi). So kuanzia jina mpaka imani ya kiyahudi inatokana na wao kuishi hapo Judea.

Kabla ya Kristo, Makabila ya Israel walirejea
Oooh kumbe, kabila gani hilo lilirejea mkuu katika Kingdom of Israel?
 
Kwanza mnashambulia wanavijiji huko Congo kisa hiyo dini yenu, soma kuhusu AFP.
Vipi Anti balaka huko CAR ilikua ni Christian extremists pamoja na LRA ya Kony nayo imechinja sana huko Congo na CAR!!
Tukienda kidini mkuu hao wazungu/wakristo wameua sana kasome kuhusu mauaji ya wajerumani huko Namibia au mauaji ya King Leopold aliyepewa support na wakatoliki kukamilisha mauaji DRC. Yeye pekee alihusika na vifo sio chini ya million
 
Alooo, mbona kama maagizo ya kigaidi
 
Hebu tuambie eneo la asili ya Wayahudi ni lipi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Nimeuliza tu swali naomba unijibu kama lilivyo.
Kwa muktadha wa swali kama lilivyo nakujibu Hapana

Kwa mujibu wa swali lioane na mjadala tunaouendesha hapa, majibu yake ni rahisi mno. Pale Gaza walichokifanya HAMAS ni ugaidi ambao unapaswa kukemewa na sounded mind yeyote.
Issue ya Palestina ni agenda kubwa ya UNSEC.

Ingawa tangu awali hakuna mtu aliyejiuliza kwa nini Palestina imekuja kutambuliwa kama Taifa hivi karibuni enzi za Yasser Arafat. Why and how does them exist without Taifa tangu enzi?
 
Uongo ni upi? Israel amevamia maeneo ya palestina na watu wanakufa kila siku cha ajabu wakijibu mapigo mnawaita magaidi.
Ni sawa tu na tulichofanya huku Tanzania kusponsor vyama vya wapigania uhuru kung'oa utawala wa wakoloni.
Hamna watu wanaokufa kila siku,acha uongo,ushawahi kufika huko ukaona?
 
Dini ya vilipuzi...Wakilipua ndio wanapata dhawabu wanaenda ahera madukani
 
Uongo huu sasa!
Wapalestina na makundi yao ya kigaidi wakirejea kwenye amani ya kweli, Israel hawatawarushia hata jiwe, amani itatamalaki..
Kuna wajinga wanadai ile ardhi yote ya Israel ni ya waarabu, bila kuonyesha ni wapi Waisrael wakaishi.
 

Kuandika nyuzi nyingi hakubadilishi uhalsia, ni dhahiri hutumii ubongo kwenye hili unaongozwa na mihemko ya kidini, au kama wewe sio muoslamu utakua umezungukwa na waislamu na kuambukizwa huo uzombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…