Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Niko very objective, Israel walikua wanaishi kwa amani, watu wanakula na kunywa na kupeleka watoto shule na kumwagilia mimea maji na kucheka cheka yaani maisha ya kawaida, ghafla kwa mihemko ya dini HAMAS wakatuma rockets 4,000 kwa siku moja.
Sielewi mlitegemea Israel waimbe taarab wasifanye chochote....
You're biased wanachofanya Israel na urusi ni yale yale why unageuza kana kwamba Hamas ndio mchokozi ilihali Israel anaikalia kimabavu palestina. Kama hupendezwi na Russia then usipendezwe na israel
 
Ni kweli ukiangalia kinachoendelea kinasikitisha mno, inatosha! Lkn yote haya Ni hesabu za kijinga za Hamas
Kwahiyo kupigania uhuru wako ni ujinga? Yaani ukraine ni mjinga kupambana na Urusi? Ulitaka hao palestina wakubali tu kuporwa ardhi!!
 
Kwa mapigo yanayoendelea sasa hivi ni kama wanarudishwa nyuma miaka 50, kila kitu kinasambaratishwa, bomu linashusha ghorofa lote unaliona.
They have nothing to lose either way.... wasipopigana wanakufa wakipigana wanakufa. Ni ajabu sana kushangaa mtu kupigania uhuru wake!! Kwamba ulitaka waporwe ardhi yao wakae kimya kisa adui ana vifaru?

Kwa akili hizi ndio maana Kenya imejaa rushwa kila kona.
 
Yaani majitu mnashabikia ugaidi wa HAMAS kisa ni watu wa dini yenu halafu majibu ya Israel yanakuja kwa nguvu hadi kutia ukakasi, kuna picha nimeziona ambazo siwezi kuzileta humu ila hii dunia inakosa ladha.

Hivi kiukweli mnajitapa kufaidi nini baada ya kile HAMAS walifanya, maana haya majibu ya Israel yamesababisha maafa na majanga mengi sana, watu wamerudishwa nyuma hadi zero.

Inauma kishenzi, licha ya kwamba mimi ni pro-Israel lakini kila nikiona haya mapicha nasikitika sana, mnashindwa vipi kuishi na binadamu wenzenu kwa amani kama kweli hiyo dini inafundisha amani.

Dini yenyewe fulu vurugu, ina maugomvi na dini zote, mara mpigane na Wahindi, Wabutha, Wakristo hata hawa Wayahudi, kote kote dini moja tu, vurugu zenu mpaka hata huku Afrika kwa tuliojichokea kimaisha bado mnatulipua.

Nenda kule Congo, maskini wakulima wanachinjwa na kundi la AFP kisa dini.

gaza-strip-1200.jpg
Mambo ya ngoswe. Mbona hujali picha za DRC na Sudan mtumwaa we?
 
Jamani msiwalaum Hamas bali laumuni mafundisho ya Kiislam hasa SUNNI. Wanapandikiza chuki kwa watoto wao Tangu wako wadogo. Kwenye hii video ya Twitter wenyewe wanasema wanafundishwa hivyo
 
bado sijaridhika kabisa na hiki kipigo Israel wanachotoa ukilinganisha mauaji ya kutisha walinyonyafanya hao mahawayani yaani wananiangusha mno ,inapaswa kuondoa kabisa kitu kinachoitwa Gaza na kuichukua rasmi kuwa sehemu ya Israel kisha wamshughulikie kikamilifu mdhamini wa magaidi Iran

lkn najua baada siku kadhaa watanifurahisha tu sina mashaka na hilo
 
... in short you mean ilichofanya Urusi kwa Ukraine ndicho walichofanya Hamas kwa Israel!

Exactly, unaamka asubuhi ukawahi kwenye shughuli zako za kutafuta kipato kwa ajili ya familia yako, ghafla unaskia milipuko ya mabomu, mnashambuliwa.
 
Hadi Russia na Ukraine ni waislamu wanapigana

Naona umesahau

Pale ni nchi baina ya nchi zinapigana, na hii ni kawaida kihistoria, ila nyie kuishi na watu kistaarabu imeshindikana, huwa mnahemka na kulipukia watu mabomu, mnachinja watu kisa huyo muarabu wenu mnayemuabudu aliyewaagiza kuchinja kila asiyemuabudu

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)


Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Ugaidi gani mkuu? Kupigania uhuru sio ugaidi hizo mbinu hata Mandela alitumia kumdhoofisha kaburu ilihali alijua amezidiwa silaha na majeshi!!

Huwezi ogopa kupambana kisa unaogopa majibu ya adui. Ingekua hivyo kina Nyerere wasingeweza support mataifa ya afrika kupambana na majeshi ya kikoloni.

Yaani muamke ghafla na kushambulia makazi ya watu kwa maroketi 4,000 kisha mnasema ni uhuru mnapigania, mkapimwe aisei, hiyo dini inawatesa.
 
They have nothing to lose either way.... wasipopigana wanakufa wakipigana wanakufa. Ni ajabu sana kushangaa mtu kupigania uhuru wake!! Kwamba ulitaka waporwe ardhi yao wakae kimya kisa adui ana vifaru?

Kwa akili hizi ndio maana Kenya imejaa rushwa kila kona.

Kushambulia watu kwa maroketi 4,000 kwenye makazi yao, basi nawe ufe tu, haya wanakufa na kwanza wamerejeshwa nyuma miaka 50 na wanaendelea kupigwa, inatia huruma ila hamna namna mpaka siku watajifunza kuishi na watu kwa amani.
 
Ugaidi gani mkuu? Kupigania uhuru sio ugaidi hizo mbinu hata Mandela alitumia kumdhoofisha kaburu ilihali alijua amezidiwa silaha na majeshi!!

Huwezi ogopa kupambana kisa unaogopa majibu ya adui. Ingekua hivyo kina Nyerere wasingeweza support mataifa ya afrika kupambana na majeshi ya kikoloni.
Kumbe nawe mjinga kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom