Sio demu wangu rafiki yanguNi rafiki yako au ni demu wako?
Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo.
Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike anapokaa yeye ni mwanachuo na huyo rafiki yangu Hana kazi anamtegemea kwa kila kitu na rafiki yangu tunajaribu na pia na jaribu kumtafutia kazi sehemu tofauti ili aweze kidogo wachange pale wote pia ajitegemee.
Tafadhali mwenye kazi naombeni msadieni rafiki yangu ana fanya kazi yeyote pia ni mwanamke ana umri miaka 24.
Dar es salaamAnaishi wapi?
Ndio hazipo anatafuta bado hapatiKazi za usafi mkuu mwambie ajaribu.
Vijana wa Tanzania ni haki kabisa liwapate janga mpaka mtakapojua kuisimamia serikali yenu. Mkiambiwa fanya ABC ili kuleta mabadiliko mnajichungulia madirishana na jioni mnakwenda kuandamana kwa sababu ya Simba na Yanga.Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo.
Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike anapokaa yeye ni mwanachuo na huyo rafiki yangu Hana kazi anamtegemea kwa kila kitu na rafiki yangu tunajaribu na pia na jaribu kumtafutia kazi sehemu tofauti ili aweze kidogo wachange pale wote pia ajitegemee.
Tafadhali mwenye kazi naombeni msadieni rafiki yangu ana fanya kazi yeyote pia ni mwanamke ana umri miaka 24.
Mwambie rafiki yako wa kike ampeleke kwenye kampuni ya usafi inayo toa huduma chuoni kwao.Ndio hazipo anatafuta bado hapati
Siyo kila mtu anaweza kujitoa muhanga. Usifikiri kazi rahisiVijana wa Tanzania ni haki kabisa liwapate janga mpaka mtakapojua kuisimamia serikali yenu. Mkiambiwa fanya ABC ili kuleta mabadiliko mnajichungulia madirishana na jioni mnakwenda kuandamana kwa sababu ya Simba na Yanga.
Mwambie aondoe aibu,Ndio hazipo anatafuta bado hapati
kwa hyo wakiingia chadema ndo watapata kazi?Vijana wa Tanzania ni haki kabisa liwapate janga mpaka mtakapojua kuisimamia serikali yenu. Mkiambiwa fanya ABC ili kuleta mabadiliko mnajichungulia madirishana na jioni mnakwenda kuandamana kwa sababu ya Simba na Yanga.
Nani kazungumzia mambo ya kujitoa mhanga hapa? Unajua maana ya kujitoa mhanga lakini? Kudai haki yako ni kujitoa mhanga? Mimi nazungumzia mambo ya watu wote kupinga uonevu kwa nguvu zote. Tukiungana wote sote hakuna wa kututisha. Hivi unadhani jiji kama Dar wakitoka watu milioni moja kuna mtu atathubutu kugusa hata mmoja? Kama unadhani wewe ni yatima hivyo utaachia wengine wajitoe mhanga basi usilie lie kuomba huruma. Umeyataka mwenyewe. Kufa na shida zako huko ulikojifungia.Siyo kila mtu anaweza kujitoa muhanga. Usifikiri kazi rahisi
Wewe mbona haupo kati ya wale waliovunjwa mikono na miguu?
Mtu yatima akivunjwa viungo anakaribisha umasikini zaidi.
Michango ya chama kukuuguza na kukupatia chakula na mavazi Ina mwisho wake.
Mwanzo wakati mambo ya moto moto watakuwa wanakusaidia, yakipoa huoni watu wa chama wala rafiki.
Huu ni ujinga unaoonyesha jinsi watanzania walivyo na elimu na uelewa mdogo. Hivi kwenye binadamu mzima unadhani CHADEMA wakiingia kwenye madaraka ndiyo utapata kazi? Mimi nazungumzia kuwasimamia na kuwawajabisha viongozi wote kwa muda wote. Kazi haziji kirahisi namna hiyo. Kazi zinakuja kwa viongozi wa nchi kuwa na vision na kufanya kazi kwa bidii huku wakiweka mikakati imara. Mabadiliko yanakuja iwapo tu kila kiongozi atachaguliwa kwa merit na kuondoshwa iwapo ataboronga. Inatakiwa kuwe na mashindano ya ni nani anaweza zaidi.... Hali ikiwa namna hii ndiyo baada ya muda mrefu nchi inaneemika. Hata CHADEMA wakiingia leo, kama utaacha wafanye watakavyo mambo yatakuwa ni yale yale.kwa hyo wakiingia chadema ndo watapata kazi?
Mung hapatii kazi watu. Ukisema yeye ndiye anawapatia kazi, basi unakuwa umesema na wale waliokosa kazi ni yeye kawanyima. Mungu ametupa akili zetu ili tuzitumie. Nchi ambazo hazina upungufu wa ajira kama yetu Mungu kawapendelea?Mungu atampatia kazi azidii kuomba ila asichague kazi tu
Ndo maana nikasema aombe Mungu, juhudi hazizidi kudra mkuuMung hapatii kazi watu. Ukisema yeye ndiye anawapatia kazi, basi unakuwa umesema na wale waliokosa kazi ni yeye kawanyima. Mungu ametupa akili zetu ili tuzitumie. Nchi ambazo hazina upungufu wa ajira kama yetu Mungu kawapendelea?