Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

Hilo ni janga la taifa tupo wengi hatuna kazi,, na sasa hivi hatuchagui kazi
 
You see!
It's easier said than done.
Ni rahisi kuchangia pesa, mali na mawazo yako kuliko kuchangia uhai wako au mwili wako au kiungo chako chochote cha mwili.
Popote ulipo ungerudi kuja kulikomboa taifa lako kama kweli wewe shujaa.
Wapo wengi sana walikuwa ughaibuni wakaacha vyote wakarudi nchini kwao kupambania uhuru kamili. Ukiwa mikoani ndiyo rahisi zaidi.
Kama ajira Nyerere aliacha ajira apambanie uhuru.
Ninachotaka kusema tuache anaye jisikia kujitoa nafsi yake kwa ajili ya a greater cause let him or her do it. But we should not force people to make sacrifices.
Making sacrifice is not for everyone. Politics is not for everyone.
Let's ask them to join the cause politely.
Umejaa ubongo wa kitanzania kwa asilimia zote. Unajua nilichangia kwa njia gani? Mbona unafanya conclusion bila kuuliza? Na hata kama niko ng'ambo, unajuaje kama shughuli nayofanya ningepata nafasi nije? Hili siyo suala la anayetaka, ni suala la kufa na kupona. Hakuna anayelazimisha ila hali ndiyo itakulazimisha. Vinginevyo wacha kulialia. Join ''politely'' basi upate matokeo.
 
Sure, nimejaa ubongo wa kitanzania. Mimi mtanzania.
Mashujaa wa kupigania haki au Uhuru kamili wa kweli anangeacha chochote afanyacho ili arudi kupambana. Hapo tungeita umejitoa kwa hali na mali.
Sasa usitake wenzio wajitoe kiasi usichoweza kujitoa au nduguyo.
Na wao walikuwa na shughuli iliyo wabana.
Lissu alirudi toka Belgium kushiriki kupambana na sasa yupo jela. Yeye na wale waliovunjwa viungo wana haki ya kuwasimanga kwa kejeli walioshindwa kutokea kwenye mapambano.

Huu ni ujinga unaoonyesha jinsi watanzania walivyo na elimu na uelewa mdogo. Hivi kwenye binadamu mzima unadhani CHADEMA wakiingia kwenye madaraka ndiyo utapata kazi? Mimi nazungumzia kuwasimamia na kuwawajabisha viongozi wote kwa muda wote. Kazi haziji kirahisi namna hiyo. Kazi zinakuja kwa viongozi wa nchi kuwa na vision na kufanya kazi kwa bidii huku wakiweka mikakati imara. Mabadiliko yanakuja iwapo tu kila kiongozi atachaguliwa kwa merit na kuondoshwa iwapo ataboronga. Inatakiwa kuwe na mashindano ya ni nani anaweza zaidi.... Hali ikiwa namna hii ndiyo baada ya muda mrefu nchi inaneemika. Hata CHADEMA wakiingia leo, kama utaacha wafanye watakavyo mambo yatakuwa ni yale yale.
kwa hyo unataka wamshikie bakora samia awape kazi?
 
Sure, nimejaa ubongo wa kitanzania. Mimi mtanzania.
Mashujaa wa kupigania haki au Uhuru kamili wa kweli anangeacha chochote afanyacho ili arudi kupambana. Hapo tungeita umejitoa kwa hali na mali.
Sasa usitake wenzio wajitoe kiasi usichoweza kujitoa au nduguyo.
Na wao walikuwa na shughuli iliyo wabana.
Lissu alirudi toka Belgium kushiriki kupambana na sasa yupo jela. Yeye na wale waliovunjwa viungo wana haki ya kuwasimanga kwa kejeli walioshindwa kutokea kwenye mapambano.
Nyumbu @ its base! "Justice is never given; it is exacted." — A. Philip Randolph
 
Nahitaji Bint au Kijana wa kutembeza Juice Makole Saba Saba Malipo ni 7,000/= uliza Glass kuanzia 20
Mawasiliano
0678340383

Wahudumu wa Pub Mshahara 100,000/= kula na Kulala juu ya Ofisi
0747668411
 
Nyumbu @ its base! "Justice is never given; it is exacted." — A. Philip Randolph
Next time wakihitajika watu kujitokeza kwenye harakati kama zile za kutetea justice uhudhurie.
Hatutaki pesa na maneno, Lissu angeweza kuchangia pesa tu na kujificha ughaibuni. Uje tudai haki wote kwa pamoja.
 
Achukue fomu VETA nitamlipia ada
Issue sio kwenda VETA anahitaji kazi ajikwamue kiuchumi anakaa kwa rafiki yangu wa kike nae ni mwanachuo ni kwamba ukimlipia Ada kula je yeye hapa anahitaji kazi ili maisha yake yaende mbele
 
Muulize ANAJUA kupika bagia, maandazi, kachori.
Mimi nataka mtu wa kupika tu asubuhi nampa 5000.
Kuuza ni juu yangu yeye akipika aondoke zake nyumbani hata akimaliza kupika saa mbili asubuhi.
Ok sawa nitamuuliza
 
Next time wakihitajika watu kujitokeza kwenye harakati kama zile za kutetea justice uhudhurie.
Hatutaki pesa na maneno, Lissu angeweza kuchangia pesa tu na kujificha ughaibuni. Uje tudai haki wote kwa pamoja.
Siku zote nipo front. Sijawahi kuogopa kudai haki. Najua ubongo wako wa ki-nyumbu unakudanganya kuwa kila mtu ni mwoga kama wewe.
 
Siku zote nipo front. Sijawahi kuogopa kudai haki. Najua ubongo wako wa ki-nyumbu unakudanganya kuwa kila mtu ni mwoga kama wewe.
Nishakuwa front najua jinsi ya kuosha uso na maji kupunguza maumivu ya mabomu ya machozi.
Usinikadirie mkuu.
Ushauri usipende kushambulia watu kwa maneno makali na kejeli.
Mfano kuita watu nyumbu. Huwezi jua mwingine atakurudishia maneno makali pengine atatukana wazazi wako, Sasa utapata faida gani?
Ukinitusi au nidhihaki siyo guarantee nitafuata mawazo yako.
 
Da... unadhani mimi naogopa matusi kwangu au kwa wazazi? Kama matusi yaua mimi nisengekuwapo yakhe! Mkuu nyumbu siyo tusi ila sisi watanzania wengi ni nyumbu. Na wala sidhani kama nalazimisha mtu kukubali nachosema. Nchi ni yetu sote ati, na ikiharibika ni kwa wote. Wengine tunajua madhara ya wanachofanya CCM iwapo wananchi watafikia critical point ndiyo maana tunapiga kelele kwa sababu madhara yake yatatupata sisi sote na kina Samia na watoto watatoroka. Hivi mnaona jinsi kulivyo na unemployment rate kubwa ya vijana na serikali ndiyo kwanza inatoa majibu ya kejeli?
 
Back
Top Bottom